Kulikoni Hawa wastaafu hawaonekani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni Hawa wastaafu hawaonekani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ochu, Sep 19, 2010.

 1. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2010
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wakati kampeni zinaendelea kupamba moto mpaka sasa hatujawasikia Mkapa, Mwinyi, Msuya, Warioba na Sumaye wanampigia kampeni Kikwete....kuna tatizo gani? au ndo wamemtosa? Nyerere alimsaidia sana Mkapa kuingia madarakani kama mnakumbuka.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180


  Warioba hana imani kabisa na uongozi wa JK!
  Sumaye ni mpinzani wa jadi wa JK.
  Mwinyi sees the guy as too childish, na amesahau kabisa mahitaji ya raia!
  Msuya is busy with his businesses and has no time for useless and neglecting fellow!
  Mkapa has thrown him in a swimming pool and thinks he can defend himself!

   
 3. M

  MHANJO Member

  #3
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamemchoka pia .
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Baadhi yao si wasafi pia. Wanaogopa kupambana na watu kama kina Dr. Slaa.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280


  Umesahau ni majuzi tu Mwinyi 'alibusu' pete la kuume la Jakaya. Ondoa jina la Mwinyi. Misikiti tu inamtosha kumpigia debe JK (nadhani umeskia skia kuhusu baadhi ya watu (Londa) kufanya kampeni Misikitini).

  Hao wanaobaki (Ben, Cleo, Jose, na Fred) sababu ni moja tu: "SIYO WAISLAMU"
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Ninaona hiyo siyo sababu ya msingi ksa ccm ya waislamu??Ahamed Salim yupo wapi??Mwinyi anakila sababu kwani utawala wa Ben ulimtosa!Jk ndo akamrudi ktk system
   
 7. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,467
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Hawataki kuchafua zaidi CV zao,pili labda hawakukaribishwa kufanya kampeini labda sio mtaji kwa sasa,tatu inawezekana wanatafakali mwenendo wa kampeini kabla ya kuingia vitani saa za majeruhi, nne chuki binafsi na mgombea.
   
 8. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hawataki kua kama siNema kumnadi mgombea mdhaifu kiasi hicho
   
 9. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukisimama kumnadi jk utawaambia nini wananchi
   
 10. Kidege

  Kidege Member

  #10
  Sep 19, 2010
  Joined: Jul 18, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wameanza kusoma alama za nyakati
   
 11. A

  August JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  labda waogopa ulinzi usio onekana wa yahya hussein,
   
Loading...