Gharama za uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtazamaji, Sep 19, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mwaka wa huu wa uchaguzi tume ya taifa ya uchaguzi inakuwa na bajeti iliyopitishwa kughaimia uchaguzi katika kila jimbo


  • Je wastani wa gahrama ya uchaguzi kwa kila jimbo ni shilingi ngapi?
  • majimbo yenye gharama kubwa za uchaguzi ni yapi na majimbo yenye gharama ndogo za uchaguzi ni yapi?
  • Kama kuna magari mapya yamenunuliwa ni gharama kiasi gani zimetumika na magari aina gani? Je uchaguzi ukiisha yanapelekwa wapi au yanauzwa kwa shilingi ngapi?
   
Loading...