Elections 2010 Ushauri kuhusu mkutano wa dr slaa jumanne tarakea, rombo

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
Siku ya jumanne tarehe, 21/9/2010, DR SLAA, anatarajia kuhutubia wakazi wa tarakea, na kutumia uwanja wa shule ya secondary Tarakea, ambao uko zaid ya kilomita 3, kutoka tarakea mjini, tangazo hilo kuhusu mkutanao limetolewa na mgombea ubunge wa chadema , jimbo la ROMBO, JOSEPH SELASINI wakati akiwahutubia wakazi wa tarakea, leo saa kumi jioni.
Ushauri wa wapenda mabadiliko wilaya ya ROMBO wanawaomba chadema mtumie viwanja kati ya hivi viwili , cha kwanza ni stand ya bus tarakea, au cha shule ya msingi mbomai kati , ambacho kikokaribu na makazi ya watu na pia ndicho kilichotumiwa na jk, siku aliopokuja TARAKEA. Hivi viwanja viwili ni vizuri kwa sababu viko centre ya Tarakea, na ni rahisi kufikika na watu wengi, ukilinganisha na cha shule ya SECONDARY TARAKEA.
Natumaini viongozi wa chadema mtapata ujumbe , huu

Wapenda mabadiliko wilaya ya Rombo, mkoa wa Kilimanjaro

People power

chadema , fanyieni kazi hili ili, iwe rahisi wananchi wawafike kwenye mkutano huo wa jumanne
 
Siku ya jumanne tarehe, 21/9/2010, DR SLAA, anatarajia kuhutubia wakazi wa tarakea, na kutumia uwanja wa shule ya secondary Tarakea, ambao uko zaid ya kilomita 3, kutoka tarakea mjini, tangazo hilo kuhusu mkutanao limetolewa na mgombea ubunge wa chadema , jimbo la ROMBO, JOSEPH SELASINI wakati akiwahutubia wakazi wa tarakea, leo saa kumi jioni.
Ushauri wa wapenda mabadiliko wilaya ya ROMBO wanawaomba chadema mtumie viwanja kati ya hivi viwili , cha kwanza ni stand ya bus tarakea, au cha shule ya msingi mbomai kati , ambacho kikokaribu na makazi ya watu na pia ndicho kilichotumiwa na jk, siku aliopokuja TARAKEA. Hivi viwanja viwili ni vizuri kwa sababu viko centre ya Tarakea, na ni rahisi kufikika na watu wengi, ukilinganisha na cha shule ya SECONDARY TARAKEA.
Natumaini viongozi wa chadema mtapata ujumbe , huu

Wapenda mabadiliko wilaya ya Rombo, mkoa wa Kilimanjaro

People power

Mie sijui Tarakea wala sifahamu Rombo.

Ninachojua ni kuwa CCM wanalazimisha kupendwa!!
 
Haa, kama Selasini yupo basi hakiaribiki kitu jamaa namkubali...:welcome:
 
Siku ya jumanne tarehe, 21/9/2010, DR SLAA, anatarajia kuhutubia wakazi wa tarakea, na kutumia uwanja wa shule ya secondary Tarakea, ambao uko zaid ya kilomita 3, kutoka tarakea mjini, tangazo hilo kuhusu mkutanao limetolewa na mgombea ubunge wa chadema , jimbo la ROMBO, JOSEPH SELASINI wakati akiwahutubia wakazi wa tarakea, leo saa kumi jioni.
Ushauri wa wapenda mabadiliko wilaya ya ROMBO wanawaomba chadema mtumie viwanja kati ya hivi viwili , cha kwanza ni stand ya bus tarakea, au cha shule ya msingi mbomai kati , ambacho kikokaribu na makazi ya watu na pia ndicho kilichotumiwa na jk, siku aliopokuja TARAKEA. Hivi viwanja viwili ni vizuri kwa sababu viko centre ya Tarakea, na ni rahisi kufikika na watu wengi, ukilinganisha na cha shule ya SECONDARY TARAKEA.
Natumaini viongozi wa chadema mtapata ujumbe , huu

Wapenda mabadiliko wilaya ya Rombo, mkoa wa Kilimanjaro

People power

asante kwa ushauri naamini wahusika wataufanyia kazi , peoples power itashinda
 
Tunamtakia mafanikio na ushindi Joseph Selasini. Binafsi nitawaandikia ndugu zangu Rombo niwasihi waichague CHADEMA. Wampigie kampeni Joseph Selasini, na kura wampe yeye na Rais wetu mtarajiwa Dr. Slaa.

Warombo wameichoka CCM.
 
Mkuu kwanza asante kwa Taarifa.
Naomba wahusika mlifanyie kazi hili. au ikiwezekana muwe na mikutano miwili. yaani mmoja mfanyie hapa Tarakea Sec. na mwingine pale Tarakea Bus stand.
 
Back
Top Bottom