Nini maana ya 'a chauvinist' au 'a bigot'

redSilverDog

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Posts
470
Reaction score
77
Kwa mujibu ya wa kamusi yangu ya kiingereza:

Code:
bigot [ˈbɪgət][I]n[/I] a person who is intolerant of any ideas other than his or her own, esp on religion, politics, or race
Code:
[COLOR=black] chauvinist[/COLOR] - a person with a prejudiced belief in the superiority of his or her own kind
Kiufupi wengi waliokuwa humu ndani ni 'bigots'!.. Samahani kama kuna mtu atakuwa amekashifiwa.
 
kwa nini hii usiipeleke kule kwenye advice complaints na maoni au habari mchanganyiko.
 
Kwasababu inahusu mawazo ya watu kisiasa. Nadhani hili ni jukwa la siasa.
 
Kwanza unaoneka umejiunga jana!!
pili kaulimmbiu yako inaendana na wewe "Cowards are weak no matter how healthy they are!!"

Karibu sana JF "where we dare to speak openly"
 
Kwa mujibu ya wa kamusi yangu ya kiingereza:

Code:
bigot [ˈbɪgət][I]n[/I] a person who is intolerant of any ideas other than his or her own, esp on religion, politics, or race
Code:
[COLOR=black] chauvinist[/COLOR] - a person with a prejudiced belief in the superiority of his or her own kind
Kiufupi wengi waliokuwa humu ndani ni 'bigots'!.. Samahani kama kuna mtu atakuwa amekashifiwa.

Nilidhani hii thread ni swali..ok i guess si wote tulifaulu masomo ya lugha huko lower schools.

Kwene red hapo, wengi humu ni bigots kwa sababu zipi? fafanua.
 
Back
Top Bottom