Huyu makamba ana jeuri gani kiasi hiki kwa watanzania?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu makamba ana jeuri gani kiasi hiki kwa watanzania??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Sep 18, 2010.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hii naona haijaandikwa! ni kwamba jana makamba alikuwa na waandishi wa habari pale msaliti wetu Richard Kiyabo alipotawazwa uCCm.
  Ikumbukwe huyu bwana alikuwa kama tairi la trekta kwenye kilmo kwanza, alianza CCM, akahamia CHADEMA, then akaenda CCJ akamalizia NRA ambapo alikuwa kama mgombea uraisi pale. Cha kushangaza aliombwa kurudisha form za kule anakotoka zikabidhiwe mbele ya katibu mkuu mbele ya wahandishi wa habari....ujue alijibuje??kasema kadi zote aliibiwa pale kariakoo ile siku alipobondwa, nadhani wengi mnakumbuka, hivyo kahamia ccm bila kukabidhi kadi.
  Alipopewa nafasi ajieleze yaliyomsibu hadi kuja huku CCM, akakosa confidence(alishajistukia), akajikanyaga ikapita, sasa ukaja muda wa maswali....si unajua waandishi walivyo na maswali....ile swali la kwanza tu kuulizwa, Makamba akamfunga mdomo, akwamwambia asijibu!! na kudai kwamba kama mna maswali mkayaulizie huko nje mukimwona!!eeh inakuwaje tena unaita waandishi halafu unakataza maswali??hivi we makamba unatuchezea sisi watanzzania ati??
  Kama unaamini kwamba huyu bwana Kiyabo hakuwa Mamluki, kwanini ukataze maswali?? Makamba(na mama salma) sikutushi..ila nakutahadhrisha kwamba jitaandae kuishi mafichoni/uhamishoni siku zikijiri
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Vipi yakhe, unajaribu kutikisa kibiriti kilichojaa?
   
Loading...