Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Yapo maneno mengi saana yanatamkwa na waomba na wanaowaombea Kura. Mfano; 1. JK wakati yupo Iringa baadhi ya vyombo vya habari vilimkariri akisema; Chagua CHAMA na si mgombea. Wakati huu alikuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapiga debe na hoja zisizojaa mkononi Godfrey Dilunga Septemba 22, 2010 (Raia Mwema) WILLIAM Penn Adair, maarufu kama Will Rogers, mwigizaji na mtunzi wa filamu wa Marekani wakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, jana ilikuwa siku yangu ya nne nikiwangalia JK katika mikutano yake ya hadhara "ya kampeni" lakini ukimsikiliza haongei kama mgombea bali Rais. Kwa mfano jana katika ITV alisema...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
JAKAYA MRISHO KIKWETE 1.Mtanzania pekee aliyewafanya wapinzani uchwara walie kuomba uongozi. 2.Mtu pekee ambaye mafanikio yake kimaendeleo yanapingwa kwa porojo.(bila takwimu) 3.Mtu pekee...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Kwa wale ambao hii picha haionekani vizuri, someni post ya Wozoza kaiweka vizuri hapo chini:
0 Reactions
84 Replies
35K Views
ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.....
0 Reactions
4 Replies
2K Views
From my blog: I think it is very naive to believe that political parties anywhere think of elections in democratic terms. Yes, they may wax lyrical about the principles of openness and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana-JF: Hii ni sehemu ya mwisho ya stori ya ‘Dr Slaa atabiriwa kifo’ katika Tanzania daima ya leo. ….Wakati huo huo Makama Kuu jijini Dar es Salaam imeombwa kumkamata na kumshitaki mnajimu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari nilizopata mchana huu kutoka kwa mwandishi mmoja mwandamizi wa gazeti la Serikali la Daily News zinasema kwamba kaimu Mhariri Mkuu wa gazeti hilo, Mkumbwa Alli anang'olewa kutoka wadhifa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Nadiriki kusema kuwa hatima ya taifa letu kukombolewa dhidi ya utawala wa ki-imla wa ccm ipo mikononi mwa makubaliano kati ya vyama viwili nguli na pinzani wa dhati kwa ccm. Nimechunguza kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Voice of America (Idhaa ya Kiswahili) inaripoti kuwa vyama vya upinzani 14 katika jimbo la Iringa mjini vimeungana kukabiliana na Gwiji Chadema na Mafisadi CCM. Kwa mujibu wa habari hiyo, Chadema...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
By The Citizen Reporter The United Nations Secretary General, Mr Ban Ki-Moon, has appointed former President Benjamin Mkapa the leader of a special panel to monitor upcoming referendums in...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WA TZ WENZANGU KWANZA NAWASALIMU NYOTE HABARINI NA NATUMAI HAMJAMBO POPOTE MULIPO KWANI HII NI MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA NA MTANDAO HUU AMBAO NADHANI NI MTANDAO ULIO HURU NA UNAOKARIBISHA...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Dk Hoseah MKURUGENZI wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah jana amesema kesi za ufisadi zitakazofikishwa mahakamani hivi karibuni ni nzito na zitastua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanandugu, Nimekuwa nikifuatilia hizi kampeni za uchaguzi tangu zilipoanza. Moja ya vitu nilivyoshuhudia na kunisikitisha ni matumizi mabaya ya rasilimali watu, muda na fedha. Bila shaka wengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni dhahiri sasa kwamba serikali ya awamu ya nne inatumia nguvu mno kutaka kutuaminisha imedeliver au kwa lugha nyingine imeleta mafanikio. Cha ajabu ni kwamba what is on the ground is completely...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Utawala mpya wa Dr. Slaa kufuta sheria ya mafao ya uzeeni ya viongozi CCM walikuwa mahodari wa kuboresha masilahi ya viongozi wa ngazi za juu huku wale wa chini wakiambulia danganya toto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Utumishi wa umma umepoteza maadili, ari ya kufanya kazi na tija IMEJIKITA kaburini. Dr. Slaa atarekebisha upuuzi huu ulioshamiri chini ya utani utani wa JK kwa kufanya utumishi wa umma kuwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Historically most East African had access to fresh milk from the local cow. As these countries "developed" they have created cities which were not planned well enough to support a fresh milk...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…