CHADEMA na CUF kubalini haya ili kuliokoa taifa letu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na CUF kubalini haya ili kuliokoa taifa letu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Who Cares?, Sep 29, 2010.

 1. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Nadiriki kusema kuwa hatima ya taifa letu kukombolewa dhidi ya utawala wa ki-imla wa ccm ipo mikononi mwa makubaliano kati ya vyama viwili nguli na pinzani wa dhati kwa ccm. Nimechunguza kwa umakini na kugundua kuwa CUF wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya pwani ya tanzania na hasa visiwani unguja na pemba na mikoa ya dsm, pwani, lindi na mtwara na tanga...na pia CUF walijizatiti kuingoa ccm huko visiwani zanzibar..

  LAKINI..CHADEMA wao wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya bara na kwa visiwani na mikoa ya pwani niloitaja hapo juu wana ushawishi mdogo na kwa zanzibar ni kama hawapo..HATMA YA TAIFA IPO MIKONONI MWA WAWILI HAWA "KUUNGANA"...na kupeana support kwenye maeneo yenye ushawishi...na hili ni pendekezo langu juu ya muungano huo
  1- CHADEMA WAIPE SUPPORT CUF ISHINDE URAIS NA KUONGOZA SEERIKALI YA ZANZIBAR
  2- CUF WAIUNGE MKONO CHADEMA ILI IONGOZE SERIKALI YA BARA

  Kinyume cha haya mapendekezo yangu naona uwezekano wa CUF kushinda zanzibar na ccm kushinda bara..SIPATI picha sera ya elimu bure zanzibar itatekelezwa vip na CUF wakati maendeleo ya zanzibar yanategemea bajeti ya bara iliyokuwa chini ya utawala wa kiimla wa ccm?

  NAONA PICHA NZURI ya chadema kushinda bara na cuf zanzibar na kwakuwa sera za vyama vyote zinalenga kumkomboa mtanzania ...elimu bure na matibabu bure itatimia, kubadilisha katiba ndani ya 100 days itatimia na kupunguza matumizi mabovu ya kifalme ya serikali itakuwa kweli...na MAISHA KATIKA UHALISIA WAKE YATAPATIKANA KWA KILA MTANZANIA

  NAONA PICHA YA MAWAZIRI NA WABUNGE WA VYAMA VYOTE WAKIFANYA KAZI PAMOJA KWA LENGO LA KULETA MAENDELEO YA TAIFA NA SIO KUTETEA MASLAHI YA CHAMA KIMOJA CHA KIJAMBAZI

  HITIMISHO:- VIONGOZI WETU WA VYAMA VIWILI VIKUU VYA UPINZANI..CHONDECHONDE KAENI CHINI MUUNGANE TUNAWATEGEMEA KUTULETEA MABADILIKO...PROF LIPUMBA KUBALI UWE WAZIRI MKUU WETU NA RAIS SLAA MAMBO YATAENDA SAFII...SAWAAAAA??..PIPOOOOZZZ PAWAAAAAA.
   
 2. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Good idea,
  Congrats.Let me see the impact of political assessors.
   
 3. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye nyekundu tayari umeshaweka mdingi mbovu wa makubaliano haya. Nafikiri waanzishe mazungumzo na wakubaliane kuwa yeyote atakayepata kura nyingi zaidi ya mweznie ndio nawe rais na mwenzei awe wziri mkuu. Nafikiri that arrangement could work better.
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Mimi si mwanasheria ila ''Gurus wa sheria'' watufumbue macho je inawezekana????
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  unajua kaka kwa analysis yangu ni kuwa prof. Atakuwa na kura chache kuliko dr.... So kwa hoja ya serikali ya mseto sioni kwann asepewe u-pm..anyway bado pia wanaweza kufanya arrangements za serikali itavyokuwa..i wish hata watu wazuri wachache kwa ticket ya ccm wanaweza kupewa nafasi katika mseto huo..say prof. Tibaijuka..we need her kwa maendeleo ya taifa...ni maoni tuu wadau
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Good idea
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  Hilo wazo lako halitapita likifikishwa Msikitini.
   
 8. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hapo tayari umeshavuruga makubaliano!!!! Na nyinyi mukifikisha kanisani litakubaliwa?
   
 9. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  nakumbuka siku za nyuma kidogo yalikuwepo mazungumzo kuhusu kuzuia vyama vya siasa kuungana, kuna mtu ana kumbukumbu?
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  good idea but naona kama kuchelewa vile?
   
Loading...