Elections 2010 Utawala mpya wa Dr. Slaa kufuta sheria ya mafao ya uzeeni ya viongozi

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Utawala mpya wa Dr. Slaa kufuta sheria ya mafao ya uzeeni ya viongozi

CCM walikuwa mahodari wa kuboresha masilahi ya viongozi wa ngazi za juu huku wale wa chini wakiambulia danganya toto.

Vilio vya watanzania Mwenyezi Mungu amevisikia na Mheshimiwa Dr. Slaa atafuta sheria hiyo dhalimu ambayo imehalalisha viongozi wa ngazi za juu serikalini pensheni zao kuwa zinarandana na mshahara wa yule mwenye nyadhifa hiyo kwa wakati wa sasa ili kulinda kipato cha mkubwa kisiporomoke kwa mmonyoko wa mfumuko wa bei.

Mfanyakazi wa kawaida yeye pensheni yake hutegemea mshahara wake aliondokea na hivyo kuathirika vibaya na mfumuko wa bei na hivyo kutoweza kumsaidia uzeeni wakati ambapo ndiyo anauhitaji zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom