Elections 2010 Dr. Slaa atarejesha hadhi ya utumishi wa umma kama wakati wa Nyerere

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,174
Utumishi wa umma umepoteza maadili, ari ya kufanya kazi na tija IMEJIKITA kaburini.

Dr. Slaa atarekebisha upuuzi huu ulioshamiri chini ya utani utani wa JK kwa kufanya utumishi wa umma kuwa na hadhi kama enzi zile za Nyerere na kuwa ufisadi, uzembe kazi, ajira za kujuana na kwa vihiyo yote kutoweka mara moja chini ya muda mfupi tu.

Kwa hali hii tija itarudi serikalini na nitakuwa wa kwanza kuripoti TRA kulipa kodi yangu stahili maana ninaelewa ya kuwa kweli watumishi wa umma wanatija siyo viwavi jeshi

AKSHANTE SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUTUPATIA DR. SLAA
 
uzidi kumuomba mungu kwani no one knows hayo yanayoelezwa yatawezekana Tanzania au La!, maybe maybe Not.
 
uzidi kumuomba mungu kwani no one knows hayo yanayoelezwa yatawezekana Tanzania au La!, maybe maybe Not.

Itapendeza sana kwa wanaadamu wenye mapenzi mema
CHADEMA VEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
GOO Dr SLAAAAAA GOOOOOOOOOOOOO
ZE PREZDA
PIPOZ PAWAAAAAAAAAAAAA
 
uzidi kumuomba mungu kwani no one knows hayo yanayoelezwa yatawezekana Tanzania au La!, maybe maybe Not.

ITAPENDEZA SANA MBELE YA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA NJII HII
GOO Dr SLAAAAAAAAA GOO
CHADEMA VEMAAAAAAAAAAAAAAAA
PIPOZ PAWAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
uzidi kumuomba mungu kwani no one knows hayo yanayoelezwa yatawezekana Tanzania au La!, maybe maybe Not.

Ina maana hupendi uadilifu urejeshwe maofisini? Unataka watu waendelee kutolewa upepo kila wanapohitaji huduma ambazo wanastahili kupewa na watu wanaolipwa mishahara kwa kazi walizoajiriwa? Je unapenda mambo ya kuambiwa njoo kesho, njoo kesho kwa mambo ambayo yanaweza kutendeka kwa wakati huo? etc, etc, etc. mengineyo jaza mwenyewe
 
uzidi kumuomba mungu kwani no one knows hayo yanayoelezwa yatawezekana Tanzania au La!, maybe maybe Not.

Wewe ndio hujui ila walio na ufahamu wanajua kuwa kila kitu kinawezekana. hakuna kitu ambacho hakiwezekani. ndio maana watu wanafanya research, wanafanya midahalo ili kugundua na kufumbua solutions za matatizo mbali mbali haswa katika anga za sayansi. hivyo katika maisha hakuna kisichowezekana. Ukitaka kuwa masikini utakuwa masikini daima, ukitaka kuwa tajiri utakuwa tu ili mradi akili yako ukiiweka mahala ambapo panastahili. Namaanisha akili iwe na WE CAN, I CAN & IT IS ACHIEVABLE IF EFFORTS, WILL & DETERMINATION ARE IN PLACE.
 
Back
Top Bottom