hili limekaa vizuri,kufuatana na serikali kuendelea kujishebedua na kusuasua juu ya hatma ya wanvyuo kushiriki uchaguzi mkuu,wanaharakati hao wameamua kuipa masaa 72 kinyumme na hapo ni kuwepo...
FT Interview: Jakaya Kikwete
Published: October 4 2007 23:35 | Last updated: October 4 2007 23:35
Ten years of steady economic growth on the back of a boom in mining and rising tourism has...
Wanachama wote wa CCM ambao ni wapenzi wa dhati kweli kweli - wa chama cha wakulima na wafanyakazi, cha misingi ya Azimio la Arusha, basi October 31, ni kuchagua Chadema ili tupate nafasi ya...
katika pita pita zangu huko Mang'ola Arusha nimekutana na wapigakura wengi ambao wanaghadhabu kubwa na JK kwa ahadi hewa ya mwaka 2005 ya kuwajengea barabara ya lami inayokadiriwa kuwa kilometa...
Wanajamvi,
Tuache uwongo hali ya CCM uchaguzi huu sio nzuri kabisa -mtu yoyote mwenye akili anaweza kuuona. Sual ni kwamba CCM inakabiliwa na upinzani wa aina mbili; yaani toka nje ya chama na...
Wapendwa, Naomba kusaidiwa! Kuna fulani ya campaign yaliyo na picha za wagombea lakini yapo pia yale ambayo yana picha za JK akiwa na watu (yani yanaonesha kuwa amekalia kiti cha uraisi na yuko na...
Wadau;
Habari nilizopata kutoka rafiki yangu aliye Kahama anasema Dr mkombozi wetu amepata mapokezi makubwa mjini humo jana (Jumapili) ambayo hayapata kutokea hapo.
Anasema ingawa...
Wandugu mnaweza sasa hivi kumpata Geeque hewani unaweza kupiga simu +1 312 957 6014 au kama una skype unaweza kumpata kupitia skype:bongo radio
Bongo Radio--Tanzania Best Radio for Bongo Flava...
Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi...
Hv JK umewahi kujiuliza kwa nini nyota yako imezimika ghafla? Kama jibu ni siyo, basi huna akili. Je washauri wako wakaribu wanajua jibu? Kama wanajua kwa nini hawajakushauri ili ujirekebishe...
Nawaomba taarifa hii muifikishe kwa wote wapenda mabadiliko kwa haraka
Jana nilipata taarifa kuwa baada ya mpango wa kumpatia Askofu Mokiwa Tshs.11milioni ili asaidie chama Fulani kuwashawishi...
Watetezi wa haki za watoto wa shule tunzeni hii picha. Katika kesi kibao zitakazofunguliwa dhidi ya mafisadi wa ccm, hii ya kulazimisha watoto wa shule kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya ccm...
TUMEKUWA TUKISEMA KUWA WENGI WA WANAOVAA MAVAZI YA CCM NI KWA HOFU YA KUPOTEZA KITU FULANI LAKINI KWENYE SANDUKU LA KURA WAO NAO SIO RAHISI WAISUTE DHAMIRI YAO JUU NI NANI ANAFAA KUWA KIONGOZI...
Kwa wale wanaoujua mji wa Moshi wataweza kufuatilia kirahisi sana namna ambavyo uamuzi huu uluvyofanyika bila kufuata ukweli wa kisheria wala kimazingira.
Kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi...
Jana nilikuw ambezi beach nikawa napita nikawaona ccm wacheche wamekusanyika mahali nikajua nimambo ya uchaghuzi kumbe Kikwete alikuwepo nikauliza ninitena barabarani wakati kuna viwanja...
Shubiri ya kukwepa midahalo kwenye chaguzi za ubunge zimeishtua CCM - Chama Cha Mafisadi - baada ya kuona TBC1 imewajenga mno wagombea mbalimbali wa upinzani hususani Chadema...
Kwa muda wa siku mbili hawa jamaa wa Tanzania Daima hawaleoshi gazeti katika mtandao. Je kuna mtu anaweza kufuatilia kuona kasoro kubwa inarekebishwa ili tuweze kupata habari zao kuhusu uchaguzi.
Kwanza kabisa, niweke wazi kuwa mimi na Zitto tumekuwa na tofauti zetu kisera for a while hapa JF. For a while there was some kinda of ....(...) going on between us. Kikao cha kamati kuu cha...