Uchaguzi huu unawafanya watu wasahau walipo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi huu unawafanya watu wasahau walipo!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaKiiza, Oct 18, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Jana nilikuw ambezi beach nikawa napita nikawaona ccm wacheche wamekusanyika mahali nikajua nimambo ya uchaghuzi kumbe Kikwete alikuwepo nikauliza ninitena barabarani wakati kuna viwanja vingi??Jamaa akasema anafungua Tawi la wakeleketwa wa ccm!1Nikauliza kweli Rais wanchi anaweza kufungua Tawi la wakereketwa kwenye road reserve??Wakati anaona wanakata miti kwa ajili yakupitisha grader??Au alikuwa anawadanganya machinga pale??kwani barabara ya new bagamoyo watu walishaambiwa kutoka kupisha ujenzi!!
  Nikajiuliza Nikuchoka kwa kampeni??sijaelewa alikuwa na maana gani je Dar es salaam hakuna wana ccm??maana wachacheee!!nikalinganisha na picha za TBC nikawa na wasi wasi!Sijaelewa!!
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mhhh mpaka uchaguzi uishe ndo selikali itafanya kazi yake saizi ipo bize na uchaguzi!
   
Loading...