CHADEMA wafunika kanda ya magharibi: Kampeni za Zitto katika picha usipime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wafunika kanda ya magharibi: Kampeni za Zitto katika picha usipime

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwafrika, Oct 14, 2010.

 1. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwanza kabisa, niweke wazi kuwa mimi na Zitto tumekuwa na tofauti zetu kisera for a while hapa JF. For a while there was some kinda of ....(...) going on between us. Kikao cha kamati kuu cha kumpitisha Slaa kuwa mgombea uraisi wa chadema kilirejesha hali ya umoja ndani ya chadema ambayo ilikuwa imeanza kulegalega kutokana na tofauti za kisera na mtizamo miongoni mwa wanachama na viongozi.

  Nimekuwa namfuatilia Zitto for a while since then, kama umesoma mabandiko yangu hapa, niliamua kukaa kimya kabla ya kujadili chochote kinachomhusu Zitto kabwe. All I can say for now, Zitto Kabwe anajua sana game hii ya siasa. The guy is doing great kwenye kampeni. CHADEMA walifanya la maana sana kuigawa Tanzania katika makundi ya kampeni. Kazi anayoifanya Ndesamburo na wenzake Kaskazini inafurahisha sana. Kazi anayoifanya Zitto magharibi na Ziwa ni ya kutia moyo sana.

  hii thread nitaweka picha za kampeni ya Zitto .. me likes it
   
 2. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Anafunika ile mbaya!

  Mcheki hapa Zitto na Demokrasia
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,176
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Zito kidume. CCM wenyewe wanajua.
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwanza tuanze na comedy, hizo speaker hapo chini zimenichekesha sana. CHADEMA haina pesa kama za ccm ili kuweka the best sound system in the game....BUT..... message inawafikia wananchi kwa hali ya kawaida kabisaaa:

  [​IMG]
   
 5. M

  MSAUZI JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 228
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Who lets the Dogs Out...wooooo...wooooooo..wooooooooh
   
 6. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kweli A,

  BTW - kwa wanaotaka kuona video za kampeni (sitaziweka hapa) waende kwenye blog ya Zitto. Link kaiweka mheshimiwa A hapo juu.
   
 7. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  CAPTION nitaweka kwa kadri nionavyo (hizi caption ni maneno yangu na sio ya Zitto).


  [​IMG]
  Zitto -- hivi ccm wanapotumia bilioni 58 kwenye kampeni tu, hizi pesa zingejenga hospitali ngapi?
  Wananchi - hospitali milioni moja na kumi ...... uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Vijana --- Zittooooo, wape ccm vidonge vyao
  Zitto --- hawa ccm hawanijui nini, wamuulize Karamagi, gonga basi:

  [​IMG]
   
 9. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  wakati wa kuikomboa nchi yetu toka kwa mafisadi wa ccm ni sasa:

  [​IMG]
   
 10. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nisichoelewa kwa Chadema ni kuwa mikoa ya Pwani hawahitaji kura - Tanga, Pwani, DSM. Lindi na Mtwara bila kusahau Zanzibar. Naona wanaegemea zaidi Kanda ya ziwa, kanda ya kati, kusini nyanda za juu na kaskazini.
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tanda ni wapi, DSM chadema wanakampeni kila siku (muulize Mnyika).....Lindi, Mtwara na Zanzibar nako kutafikiwa tu karibuni. Kila kitu ni kinaenda kwa ratiba ya kampeni.
   
 12. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana CCM wanaweweseka. Mwafrika ninapendekeza kichwa kipadilike kiwe, ''Chadema wafunika kanda ya magharibi: Kampeni za Zitto katika picha usipime''
   
 13. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh ... watu wa musoma mnafurahisha sana

  [​IMG]
   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  haya mkuu, nitawauliza mods wabadilishe title, me likes pendekezo lako.
   
 15. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa Mwafrika, yaani huo umati wa watu kwenye picha na video mpaka mwili unasisimka. Tena watu waliojipeleka wenyewe bila kusombwa. We acha tu, yaani hadi raha.
   
 16. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nimempenda huyu mama wa musoma mwenye alama ya amani:

  [​IMG]
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,564
  Likes Received: 18,297
  Trophy Points: 280
  Mwafrika, kwanza asante kwa kurudisha moyo. Pili hayo kwenye red, ulikuwa huna sababu ya kuyaandika kwa vile ni mambo yenu na mengine ni mambo ya ndani. Kwa kuyaandika, ina maana bado unadukuduku fulani la
  1. Kutueleza wewe na Zitto mmekuwa na tofauti zenu kisera for a while hapa JF. Kwa vile ni zenu, sasa unataka wanabodi au tukuulize ni tofauti gani ili nazo uzilete au what was the purpose kutuletea habari za hizo tofauti zenu with 14 days to go!.
  2. Kwamba kumbe Chadema hakuna umoja mpaka Kikao cha kamati kuu cha kumpitisha Slaa kuwa mgombea uraisi wa chadema kilirejesha hali ya umoja ndani ya chadema ambayo ilikuwa imeanza kulegalega kutokana na tofauti za kisera na mtizamo miongoni mwa wanachama na viongozi. Kwa hiyo sasa umoja ndio umerejea hivyo nawe ndio umeacha kukaa kimya?!.
  3. Kumbe umekuwa unamfuatilia Zitto for a while since then, kama tumesoma mabandiko yako hapa na uliamua kukaa kimya kabla ya kujadili chochote kinachomhusu Zitto Kabwe. Who the hell anafuatilia nani anamfuatilia nani humu?. Ulitaka kutueleza ulisusa sasa ndio umemaliza kisuso?.
  Anyway Mwafrika, usijibu hayo ukazidi kumwaga kuku kwenye mtama wengi, kamayaliisha ndani kwa ndani, hukuwa na sababu ya kuyaleta humu, wewe ungeanzia tuu hapo kwenye blue.
  Asante.
  Pasco
   
 18. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Watu wamefurika, wengi mno kama mawingu
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Since chadema have a common enemy then fighting from different angles with different people is ideal.
  Ni counter strategy iyo ,keep it up
   
 20. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mkuu Pasco, conventional wisdom inakubaliana nawewe kwa kila kitu ulichoandika hapo juu. Hata mimi nakubaliana nawe. Ingekuwa rahisi kukaa kimya na kutosema chochote, kwangu mimi ingekuwa unafiki. Debate kali sana ilifanyika live hapa jamvini kati yangu na Zitto (au wale wanaomuunga Zitto) hivi karibuni.

  Kumbuka kuwa hizi debates hazikuanza leo, zimekuwepo toka kipindi cha buzwagi na zitaendelea kuwepo. Hata leo hii chama cha Obama US bado kuna internal debates za kati ya liberal na conservative democrats.

  Haya ni mambo ya kawaida sana kwenye vyama vikubwa. Chadema ni chama kikubwa na tofauti za kisera na mwelekeo zipo na zitaendelea kuwepo. Vyama ni mkusanyiko wa watu na watu wanafikiria tofauti.

  Kuacha hayo yaliyopita, inawezekana matumizi ya neno kufuatilia yamekukwaza. Nilitafsiri tu toka kwa sentensi ya kingereza (I have been following). Bahati mbaya, wengine wetu ambao bado tuko shuleni, inabidi tufikirie kwa kingereza all the time ili kufanya home works. Hilo neno kufuatilia halikuwa na maana nyingine mkuu Pasco.

  All is well, we enjoy picha ....asante
   
Loading...