Lo! Mama Salma na kampeni za shuka kwa shuka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lo! Mama Salma na kampeni za shuka kwa shuka!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Aug 27, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi shuka kwa shuka!

  Sasa huyu mama ambaye ni mwenyekiti wa WAMA anawaambia nini akina mama? Yaani watoe unyumba kwa ajili ya kura? Sophia Simba ni board member wa WAMA na aliwahi kushauri kunyima unyumba waume wa wanawake wasiokuwa wa CCM. Mbona kama wanalugha moja! Hivi WAMA ni taasisi ya CCM?
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Hii kali watu wa shuka kwa shuka utawaona tu Sophia's members group
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Duh mwishoe kisogo kwa kisogo
   
 5. m

  masasi Member

  #5
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubongo na mawazo yao yanafikiria nonino tu alizosema sophia simba
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ukisikia ufinyu wa kufikiria ndio huu yaani uswahiliuswahili huko Ikulu. Sasa unadhani ukininyima unyumba kisa mie sio mwanaCCM ndio umenibadilisha si naenda sehemu nyengine natafuta mwanamke wa kuishi naye tu asiejali siasa. Yaani aisee
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  shuka kwa shuka ndio nini kwa kiswahili cha kawaida? :confused2:
   
 8. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Unyumba kwa kiswahili cha mtaani!!! Eti upige kura baada ya kupewa unyumba WTF si naenda Joly au Salender bridge kununua samaki wako wengi tu.
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh nakumbuka marehemu Ac aliwahi mwambia mama hoja zako hazina mvuto :smile-big::smile-big:
   
 10. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  angemalizia kabisa 'shuka kwa shuka, ngozi kwa ngozi,.....'
   
 11. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ole wake mama K aje na campaign za kuninyima haki zangu...talaka tatu mfululizo
   
 12. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha
   
 13. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Toba hii kauli imetoka kwa first lady. Hivi first lady tafusili yake kwa kiswahili nini?
   
 14. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yaelekea wewe si muumini. Situnaambiwa kwenye nyumba za ibada kuwa alichokiunganisha mungu kamwe hamna wa kukitenganisha?
   
 15. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  mmeambiwa na nani?
   
 16. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ndio uwezio wa kufikiri first Lady wetu,

  Mungu waondoe waswali ikulu
   
 17. M

  Martinez JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 518
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  itakuwa alipitiwa, unajua kuongea napo ni kazi!!!
   
 18. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2010
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii ni literal,ana maana wafanye kampeni kwa bidii na kumfikia kila mtu.Simple!
   
 19. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kututafsiria...changanya na zako...
   
 20. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  literal maana yake kama ilivyo au maana halisi ya maneno - basic meaning. Labda unasema ni semantic/ idiom/ saying or figurative! Na kama ni figurative maanake ni kitandani na pia jinsi sentensi yake ilivyo - nyumba kwa nyumba, chumb kwa chumba, ikibidi shuka kwa shuka!!!!!!
   
Loading...