Elections 2010 Hata wakisusa.......

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
...........................................
Mama+Salma+Kikwete+akisalimiwa+na+mwanachama+wa+UWT+baada+ya+kufika+Wilaya+ya+Magu+Mkoani+Mwanza+Sept.15.9.2010.JPG



jk%20dom(7).jpg
Ridhiwani.jpg
 
Kazi inasonga na familia yangu mpaka kieleweke! Ushindi kwetu ni lazima!
 
Jamaa tarayi anangoja kuapishwa tuu,lo masikini wapinzani wamelowa!
nani anangoja hapo kuwa raisi JM, wife au mtoto!? na wewe ni nani hapo? upo sehemu gani kwenye uraisi wa familia!?
 
kama nyerere...au mwinyi .....au mkapa wange waweka watoto wao madarakani namna hii kikwete angekuwa rais kweli..????

unaleta dynasty katika nchi hii sio...?

WATANZANIA WA SASA SIO MABWEGE...!!!!!!!!!!
 
Jamaa tarayi anangoja kuapishwa tuu,lo masikini wapinzani wamelowa!
Mbea au mmbea, nadhani rafiki yangu unahitaji ushauri na saa ili uweze kujua alama za nyakati na kuchagua kilicho bora.

Urais wa kifamilia unataka kuja Tz....... kwa hili EL anaicheka familia hii... duuh, hata shetani anaicheka familia hii
 
Anayesubiri kuapishwa ni Dr. Slaa labda hamkumwelewa vizuri na CCM ndiyo watasusa safari hii na kununiaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom