Asikudanganye mtu hali ni mbaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asikudanganye mtu hali ni mbaya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ntambaswala, Oct 16, 2010.

 1. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi,

  Tuache uwongo hali ya CCM uchaguzi huu sio nzuri kabisa -mtu yoyote mwenye akili anaweza kuuona. Sual ni kwamba CCM inakabiliwa na upinzani wa aina mbili; yaani toka nje ya chama na ndani kwenyewe. Upinzani ndani ya chama umekuwa kimya sana lakini timu ya kampeni ya CCM inajua kuwa kuna silent opposition kubwa sana ndani ya CCM na hata katika serikali yake. Watu wengi wanaiunga mkono CCM mchana kuepeuka kufukuzwa kazi, kuonekana wasaliti, na pia kudumisha unafiki- ila nakwambia 31st Oktoba wengi wanaweza kupiga kura kwa upinzani.

  Nimerejea kutoka LIndi na mtwara nilikuwa kwenye timu ya kampeni ya rafiki yangu anagombea kupitia CCM, nakwambia hali ni mbaya usiku tunapanga mikakati kesho yake tunaamka ishafika kwa CHADEMA. Issue ni kuwa hata timu yake ya ndani kabisa wanamsaliti wanasema angegombea upinzani lakini sio CCM

  Pia wafanyakai ukiongea nao wanasema watamuenzi mzee Ngula, vijana wa mitaani na wafanyabiashara wasema ufisadi umezidi. CCM tunahitaji kujipanga ili kujinasua na hali hii, vinginevyo tutakuwa chama cha upinzani sasa hivi
   
 2. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Bora umesema wewe toka ndani. Tulio nje lolote tunalosema na kupendekeza lipigwa nembo ya "NI MPINZANI"
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kweli mkuu
  kwa wale ambao akili yao ni ''shake well'' ndiyo bado hawaoni hata kwa kusoma alama za nyakati
  lakini ukweli ccm imeshikwa vibaya
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  Wengine wametuita Mavuvuzela wa JF.

  Wanafananisha DR. Slaa na Wapiga Kura wa 2010 na Mrema na Wapiga Kura wa 1995.
   
 5. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Teh teh hehehehehehe! Utamu huo
   
 6. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hivi hali ya lile Daraja la Umoja analojivunia JK kalijenga ikoje mkuu Ntambaswala? Pale kwenye Bar ya Sijaona paliungua moto vp kumetengemaa? Wasalimie watu wa Uhamiaji na Polisi hapo kwenye hizo Nyumba za Wachina waambie Slaa (PhD) anahitaji kura zao kuikomboa Tanzania mikononi mwa Wakoloni Weusi, ndugu zetu wa tumbo moja waliotupa kisogo.
   
 7. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  aaah nimesahau, na kale kahospitali ka Nanyumbu kanaendeleaje vile? Na yule mwalimu mmoja tu kwa shule nzima ya hapo Mtambaswala hivi bado yupo maana alishachoka na maisha akataka kukimbilia Masasi, mwambie apigie kura Dt. Slaa!
   
 8. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  safii muda wenu umeisha tumewachoka
   
 9. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kweli hali ni mbaya niko hapa Arusha na Mh. Batlda ametoka kwenye kampeni,, anazomewa mbaya sana....

  Sasa sijui huyu mama itakuwaje, ila kwa kuwa ameolewa zanzibar basi atarudi huko kumuhudumia mkewe..

  Arusha Mjini Lema tayari ni Mbunge...
   
 10. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkewe?
   
 11. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Good news!
   
 12. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu hongera kwa kuwa na ujasiri wa kusema ukweli ingawa kuna vimeo hapa watasema wewe ni chadema unazuga tu kuwa ni mwanasisiem!
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wakulu tushisherehekee kwanza. Let make them surprised kwa kuzisaka hata kura za wagombea wao. lets do it.
  Tuhakikishe tunaziba mianya yoote ya kuibiwa kura, tuhakikishe tunaabide na sheria na taratibu za kampeni maana bila hivyo tunaweza kutegwa mahala na ndoto zetu zikayeyuka. But niko confidently kuwa Dr. Slaa ni rais wa tano wa TZ.

  make way for the king
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  CCM ndo wajua siku zao zimekwisha kukaa madarakani na kujifanya kuchakachua lakini wapi ..hahaaaa kazi ipo
   
 15. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mnanikumbusha mashindano ya Miss Tanzania, ambapo kila mdhamini anakuwa na mshindi wake..yaani different categories.mara photogenetic, mara sijui Miss domestic tourism...

  In line with that... Kama tungekuwa na Category ya " Online/On-Net President of Tanzania" - we have the name already...similarly kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anapatikana kwa ballot votes kwenye polling stations... Na jina lake nalo lipo, tunalijua and it is obvious";

  Kwa vyovyote mnajua kwamba huyo wa Mtandao sio yuleyule wa on ground.
  Mungu Ibariki Tanzania
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naikia kwa iringa kuna maji,mbo kama 3 ivi yako hatarini kupokwa na CHADEMA mwaka wa mavuno huu
   
 17. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kimsingi ni majimbo mawili, na yapo hatarini sio kwa sababu ya nguvu ya Chadema bali ni kutokana na makosa ya CCM kuwaengua wagombea walioshinda kura za maoni.
   
 18. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135  tatizo laka unawaza upinzani na umejaa umejijengea mawazo ya kupinga pinga.mnafundisha nini watoto wa kizazi kijacho.me naona vyama ambavyo havijapata ridhaa ya wananchi kuongoza serikali na kuwa madarakani ni vyama vya kuiwajibisha serikali tuu na sio upinzani.asa wanapingana nini?kama ni maisha bora zaidi kwa wanachi wote wanalenga hivo hivo au vyam unavyovijua weye vinapinga lengo la kusaidia wananchi?????
   
 19. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hali itazidi kuwa mbaya octoba 31
   
 20. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kwa hakika hizo ndoto zenu zitageuka kuwa jinamizi!!!!
   
Loading...