Kuna Tcha fulani huko jimboni kwa Mzee wa Kilimo cha Mchicha New Zealand aliwahi kunitumia SMS ya propaganda kuwa Dr. Slaa si kitu si lolote.
Hivi majuzi nilizungumza naye kwa simu na kunieleza...
Nilikuwa napitia ripoti ya haki za binadamu kwa mwaka 2008 kutoka Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje. Kuhusu suala uhuru wa maoni na habari ripoti hiyo ina maangalizo kadhaa mojapo ni hili:
On...
Nilikuwa nikiangalia harakati za kujinadi kwa mgombea wa Urais wa zanzibar kwa kupitia CCM na nilishituka na kauli iliyosema kuwa serikali za CCM,ile itakayokuwa chini yake Zanzibar na ile...
Ndugu Wana JF,
Napenda kutoa wito kwa wapenda mabadiliko wote kuwa we are very close on the finishing line kuindoa ccm iliyogawanyika madarakani, ambayo ni adui wa wapenda mabadiliko na...
Wana jf nilimsikia mkurugenzi wa kituo cha kisheria na haki za binadamu akitaja JF kama moja ya taasisi zitakazotoa waangalizi wakati wa uchaguzi mkuu.
Nilisikia JF itatoa watu 60 watakaojiunga...
An open letter to all Tanzanians
From M. J. SABODO
Dear my fellow countrymen
When Mwalimu Nyerere nationalised properties under the gist of socialistic politics, I, M. J. Sabodo, gave him and some...
Kitendo cha Mh. Slaa kurudi Bukoba hapo kesho, kunawafanya ccm pureesha ipande na kushuka. Ukiwa Bukoba mjini gari la CHADEMA linazunguka mjini likiwa na Mziki mkubwaaaaaaaaaaa ambao unaimba...
Guys CCM under the leadership ya Kikwete ni aibu kubwa mno, na kituko cha karne ni ya hovyohovyo kupita kiasi. CCM inatia kinya-aaa sana. Yaani chama chenye umri wa miaka 33 kinafanya kampeni za...
JK kweli anapenda mzaha.
Kwa kuwa mikutano yake inajaa watoto wa shule, basi siku hizi anachokifanya kila anakopita ni kucheza kidali po na watoto wadogo.
Hivi munaoshabikia JK muna akili...
Jk alifikiri ya kuwa watanzania watamchagua kwa sababu ya ahadi za miaka mitano ijayo......Hilo lilikuwa ni kosa lake la kwanza...........Watanzania walitaka tathmini ya miaka mitano iliyopita...
The Government of the Republic of Tanzania is going to make her general election on 31st October 2010.This month has been described as the Unique month,this is to say'it has never been happened...
Haya wadau, kama mjuavyo, ile mada ya Kikwete kuanguka imefungwa.
Sasa hii mpya nimeifungua ili tuendeleze libeneke.
Watanzania tunataka tuambiwe ukweli kuhusu afya ya amirijeshi mkuu wa...
Ndugu zanguni kampeni zimefanywa kwa kiasi kikubwa ba zinaendelea ila kuna kila dalili ccm na kikwete wameshindwa kukata japo 1% ya kiu ya wat ya kuwa na maisha bora na watz wamekichoka chama hiki...
Saidi Mwema amekanusha vibaya sana tuhuma za makaratasi ya kura kukamatwa kule Tunduma. Amedai huo uvumi ni uzushi mtupu. Amesema mapolisi wamelikagua hilo gari lakini hawakuona hayo makaratasi ya...
Habari Kamili Hii Hapa.
Siku moja kabla ya Kukamatwa kwa Bw lema mgombea Arusha mjini, Jana yake vijana kazi wa Chadema ambao wamepagwa mji mzima kuhakikisha bibie tmoa rushwa batilda hagawi fedha...
Habari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo...
Leo asubuhi hii mwanangu akiwa anachezea remote ya radio bahati mbaya akafungulia Uhuru FM. Wakipitia dondoo za magazeti ya chama (ya ccm, serikali, na yale ya mafisadi), mtangazaji wa kiume...