Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Ndugu wana CCM.
Naomba mumshauri ndugu JK aende Mwanza akazime moto.
Naomba mumshauri ndugu JK aende Mwanza akazime moto.
Moto gani tena? Si alikuwa huko? Na kawaahidi mambo kibao tu, jij la mwanza litakuwa kama singapore, au mmesahau mapema hivi,na sasa kuna moto gani tena huko?