CCM inatia aibu mno inafanya kampeni za hovyo hovyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM inatia aibu mno inafanya kampeni za hovyo hovyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Oct 23, 2010.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Guys CCM under the leadership ya Kikwete ni aibu kubwa mno, na kituko cha karne ni ya hovyohovyo kupita kiasi. CCM inatia kinya-aaa sana. Yaani chama chenye umri wa miaka 33 kinafanya kampeni za kibaguzi!. Mwaka huu wapiga kura hatudanganyiki. Ovyo CCM.
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Kuna signature moja hapa JF inasema: "Kwenye msafara wa mamba na Kenge wamo." Kama msafara ule unaongozwa na mamba basi huwezi kujua kuna kenge wangapi kwani watakuwa wanafuata tabia za mamba hata kama hawazipendi. Tatizo ni pale ambapo uongozi wa msafara utaingia mikononi mwa kenge; hapo ndipo utakapojua kuna kenge wangapi na mamba wangapi. Kama mamba ni wengi basi watamtafuna yule kenge aliyechukua uongozi ili kuhakikisha msafara wao unaongozwa na mamba mwenzao, lakini kama kenge ni wengi basi watafurahia kuona kenge mwenzao anaongoza msafara ule na wale mamba wachache waliomo ama watanyamza au watajiondoa kwenye msafara ule.

  CCM tuliyokuwa tunaijua ilikuwa ya mamba, lakini kidogo kidogo kenge nao wakaaza kuingia. Kwa vile CCM ile ilikuwa bado inaongozwa na mamba kwa muda mrefu, hatukujua wingi wa kenge waliokuwamo. Tatizo la CCM limeonekana wazi pale ambapo kenge alishika uongozi wa msafara, ndipo tukagundua kuwa kumbe CCM ilikuwa imeshakuwa na kenge wengi zaidi ya mamba. Ndiyo maana msafara huu wa CCM uliojawa kenge wengi hauna utamu tena kama ule msafara wa CCM uliokuwa umejaa mamba.
   
 3. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  na hao kenge ni kikwete, lowasa, rostam, salma, miraj, serukamba, kingunge, chenge, matayo david, sophia simba, nk
   
 4. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Its too sad, hawasomi alama za nyakati!! They still think that Tanzanians are unaware of what is there within the part. Let them change the way they rule the party now vinginevyo ccm itakuwa chama cha ajabu ajabu sana.

  CCM have everykind of resources but they are selfish to themselves. They have enough human capacity, funds,networking but less organization within themselves.

  Wakae kando kwanza waitafute haki ndani ya chama wakishaipata tutawapima then tutawarudisha watuongoze kama watakuwa tayari.

  But for now, its too bad kuongozwa nao maana kila kiongozi anawaza kumalizia nyumba yake, kukwepua zaidi, kupata ubia zaidi na kujenga mtandao kwa ajili ya watoto zao. Mtu aliye nje ya huo mtandao lazima afanye kazi kubwa kupata hat ukurungezi hata kama ni smart/mchapa kazi mzuri.
   
 5. R

  Reyes Senior Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichuguu, this is is your best artistic work ever..., unatakiwa kuisoma tena na tena usikilizie utamu na mpangilio wa maneno na ujumbe...kila mstari umetulia sana

  nakushauri uihifadhi pembeni na kuiendeleza, unaweza zalisha bonge la makala tukaitoa RAIA Mwema, Mwanahalisi na Tanzania Daima kabla ya Uchaguzi

  kumbuka kuweka sign yako ya Kichuguu hata kwenye gazeti maana ukiweka jina lako tuu utakuwa umemtambulisha kichuguu bayana
   
 6. r

  realtz7 Senior Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nasikitika jk kuanza kugawa vandarua nchi nzima, is this what tz's real need? aibu sana eti kaahidi pia kuwafikisha timu ya mkoa wa lIndi daraja la kwanza, aah imagine hovyo hovyo hii, hao kenge tatizo wameshiba sana na wamekuwa wengi hadi mamba wanashika midomo kwa bumbuwazi!
   
 7. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  labda wanataka wakishindwa wafanye machafuko halafu wasingizie upinzani una sera za fujo...sasa kwa taarifa yao, hapigani mtu hapa...
   
 8. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Think bout this guys. Mbalizi, Mbeya, JK anawaahidi uwanja wa ndege. Is there dire need the airport? Airport ndie shida yao wakulima na fukara wa Mbeya kweli? Eti watalima maua wakauze ulaya, jaman, jamaa zetu niwakulima wa mahindi na mpunga, waache waende ulaya kuuza maua? Anajuaje kama ardhi ita support kilimo cha maua? Watapata wapi mbegu za maua? Watapata wapi modern irrigation system? Packaging machines watapata wapi? Mtaj watautoa wapi? Jamaa washauri wake wanafikiria nin? Duh!
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  raha ilioje kwani watanzania wa leo hawadanganyiki achilia wale wa chache wanaodanganyika na tishert, kofia na vijisenti pamoja na hayo lakini wanakiri kabisa hii ni danganya toto ya ccm ya kila baada ya miaka 5 hio ni kauli za wajumbe wa nyumba 10 majuzi waliitwa na kupewa ivyo vitu lakini wapo wazi kabisa wamechoka
   
 10. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  Afadhali atoe hizo ahadi za kitoto za kugawa vyandarau na kuingiza timu ya Lindi daraja la kwanza, sijui atakaba na kushambulia yeye, lakini aibu ya karne ni CCM na Rais wa nchi kufanya na kufanyiwa kampeni za udini, It is awful. JK amweka rekodi ya aibu katika nchi yetu.
   
 11. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  :cool::cool:tuwamwageee tuwamwageee weeeee....tuwamwageeee weeeeee...!!
   
 12. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2010
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  mlandizi na pwani wamehaidiwa kilimo cha nyanya, sikutegemea kitu kama hiki hata wasikilizaji walipigwa na butwaa
   
Loading...