BUKOBA: CCM; Pureeesha inapanda inashukaaaa, Pureesha inapanda Inashukaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BUKOBA: CCM; Pureeesha inapanda inashukaaaa, Pureesha inapanda Inashukaaaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ta Muganyizi, Oct 23, 2010.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kitendo cha Mh. Slaa kurudi Bukoba hapo kesho, kunawafanya ccm pureesha ipande na kushuka. Ukiwa Bukoba mjini gari la CHADEMA linazunguka mjini likiwa na Mziki mkubwaaaaaaaaaaa ambao unaimba nyimbo mbili ziitwao ; SLAA ANAWEZA, na Ule wa PUREEEESHAA INAPANDA INASHUUUKA. Kila kona ukipita utasikia ccm: pureeeeesha inapanda inashukaaa, mafisadi: pureeeesha inapanda inashukaaaaa, wala rushwa :puuuurehsa inapanda inashukaaaaa. Basi ccm wanachukia haoo!!!!! kila gari likipita utasikia wanasema aghhh hili li wimbo nalooo ahhh pureeeesha pureeeesha aghhhh?<?>>|+)**^%%$. Mara Juzi pale Kahororo Mh. Kagasheki alitoa hotuba yake kwa kumponda Slaa kwa point ya ajaaaaaaabu hadi nikashangaaa kuona Naibu Waziri anashindwa ku -reason kitu kidogo. Eti akasema hivi "Wakati kikwete amekuja hapa mlisikia anatamka mwenyewe kuwa atajenga barabara ya Kahororo. Alisema hakusea???? Basi wakaitikia alisemaaaaaaaa" akauliza " Je Slaa mlisikia anaitaja Kahororo?" wala hapajui Kahororo. Kwa hiyo kKikwete ndo poa sababu anapajua Kahororo.Lakini mimi ninavyojua ni kuwa ukimuweka Kikwete mjini ukamwambia twende Kahororo hawezi kukupeleka, maana alikremishwa tuuu ataje kahororo lakini hapajui. Lakini kujua jina la mahali na kupataja ndo kuwa kiongozi boraaa. Baada ya hapo ccm wakatimuana.
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh, huyo ndio waziri. kazi tunayo.
   
 3. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Yaani CCM kila mtu tapeli, hayo maneno utafikiri mama anamuuliza mtoto "baba alisema akirudi kazini atakuletea pipi au hakusema? halafu mtoto anajibu "alisema!" mama anadakia "eenh mwanangu basi nyamaza" .

  Idiot! Hatuchagui Rais anayeweza kukariri majina ya vijiji au miji tunaka Rais atakayekuwa na ujasiri wa kupambana na ufisadi hatimaye maendeleo yakapatikana nchi nzima including huko kahororo, na huyo si mwingine....ni Dr. W.P. Slaa
   
 4. d

  dotto JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nadhani matatizo ya CCM yalianzia kwenye ile Bajeti ya Zakhia Meghji iliyomfanya raisi atume mawaziri wake mikoani kuitolea ufafanuzi. Hivi ilikuwa na shida gani mpaka wapinzani wakaikataa?
   
Loading...