Gari la Ikulu lagawa Takrima CCM Arusha, Police wasaidia kulitorosha. lavunjwa vioo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la Ikulu lagawa Takrima CCM Arusha, Police wasaidia kulitorosha. lavunjwa vioo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TripleDDD, Oct 23, 2010.

 1. T

  TripleDDD Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Habari Kamili Hii Hapa.
  Siku moja kabla ya Kukamatwa kwa Bw lema mgombea Arusha mjini, Jana yake vijana kazi wa Chadema ambao wamepagwa mji mzima kuhakikisha bibie tmoa rushwa batilda hagawi fedha maana vyombo vya takukuru na polisi wanamsaidia na ukiwaita hawana msaada. Vijana kazi walishika gari ya Ikulu ikiwa na number kwenye vioo tofauti na plate number. Wakampiga sana driver akasema kila kitu ametumwa yy ni raia mwema. ikavunjwa vioo police wakaja na kufyatua mabomu wakaipeleka kituoni.
  Cha kushangaza wakakataa kusearch na kuitolea habari zozote kila mtu alikuwa anaikimbia ikawekewa ulinzi mkali hadi kwa wanahabari. Lema akaenda press conference akamwaga.
  SS kilichofuata. Ikatoka oda kumfuatilia ili kumtafutia kosa. Huwezi amin siku alioshikwa RCO alikuwa kwnyw mkutano wake kajibanza mahali na vijana wa kutosha. mkutano umeisha lema kaondoka na gari si unajua Jimbo kashalichukua tayari vijana mzuka msafara kama kawa wanaimba Mbunge, Hiki ndio kinachowakera sana na kushangilia kwa sana.
  Msafara ukazuiwa na police yy akiwa ameshapita hilo eneo waliobaki nyumba wakapewa kibano pamoja na uharibifu. kamanda lema Akaenda plc kuchukua PF3 na RB kwa uharibifu
  hapo ndio kesi ilipoanza la hakukuwa nakesi. Cos aliesababisha nguvu ya ziada alitumwa kufanya hivyo akijua ni kosa OCD ikabidi watafute namna ya kuneutralize the issue.
  Sababu alikuja mwanasheria RCO akashinda kueleza by definition maandamano lega na sio legal yakoje maana je Lema angeondokaje mkutanoni la wamletee helikopta au waongeze ulinzi kama wa JK atoke mwenyewe pale.

  Kuhusu Gari ya ikulu Plc wanamwomba lema iishe chini kwa chini ili yasiende juu sana, asubuhi yake gari haipo imeshapelekwa mbali sijui DAR na driver haonekani, Lema akaachwa kweny mataa walimfix ili isiwe issue. Kesi ikapelekwa mahakamani fasta kama ujuavyo hairuhuiswi issue ya mahakama kuongelewa nje. Kesi haina mshitaki wala aliyevunja gari halali yuko nje ila mwenye shamba ajali ilipotokea ndio mshitaki kama zuga fulani hivi.

  habari ndio hio. Lema yuko huru hana kesi yeyote mpaka sasa, mbunge mtarajiwa na PLC wenyewe wanamkubali.

  [/FONT]
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kaaazi kweli kweli!
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Naamini taarifa zako ni sahihi
  Ndugu yangu aliyeko arusha alinihabarisha kwamba alikuwepo kwenye timu ya waliohangaikia bail ya Lema mpaka saa sita za usiku. Huyu ndugu yangu ni mwana ccm analipa ada zake bila kuacha.

  Ameniambia kuwa haoni kwa nini aendelee kuipa sapoti ccm ambayo haina stand kwenye jimbo tena?

   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kuna haya ya hawa Police kabla ya kukamata issue fulani wanapaswa fuatilia na wajue kwanza.

  Na ndivyo itakavyo kuwa kule kwa Shibuda Maswa mtasikia ameachiwa huru kwani hata kwenye TBC1 jana mmoja ya watu waliokuwa wana hojiwa alimtaja muhusika kwa jina sasa twashindwa elewa Shibuda nae alikuwepo katika hiyo msekemseke au amechukuliwa kama kiongozi wa Chadema wilaya ile??
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
 7. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Unalo liseam ni kweli kabisa viongozi wengi wa CCM ndio chanzo kikubwa cha kupoteza kura za wagombea wengi wa CCM na wana CCM wengi katka majimbo mengi ambao ni viongozi esp UVCCM wakaaaa kando kwani baaada ya kura za maoni za CCM kwa wale walio shinda wakajisahau na kusahau kurekebisha makundi yaliyopo na pia walizisaha kambi zao na wakaunda kambi za famili upya wakati wanajua fiki kipindi hiki sio kambi za kifamili ni za wanachama wa CCM katika jimbo lako na ni kukaa na kujipanga ili kufanikisha zoezi la kuwashinda wapinzani wako.
  Sasa hilo ndio limekuwa tatizo kubwa sana kwa wana CCM na wagombea kwahiyo siwezi shangaaa kuona wana CCM wakapigia Upinzani.

  Sasa Bwana TRIPLE DDD ametupa habari nzuri baada ya tukio na huko Tunduma mtupe habari baada ya matukio kufikishwa police na pia Maswa na watupe habari.
   
 8. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nadhani kachemka ku Quote hapo au ana hasira nini
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  1.Kaka , habari hii ni nzuri sana, lakini unaonyesha umeiandika kwa haraka na ghazabu ili usisahau kitu, kaa utulie uirekebishe taratibu.
  2. Leo kuna mtu alinambia kuwa Batilda amejifungua...Huenda kutokana na hilo hana nafasi ya kampeni tena, hivyo anatumia viwakilishi (kanga &tshirt)kuongea na watu:embarrassed1:!
  Nawapongeza sana wananchi hao wenye hasira, hayo ndiyo maamuzi sahihi kwa watu walioamua kuiruhusu rushwa itambe bila kuigusa!
  Hapo jana Lema alikuwa alikuwa akielekea maeneo ya JR kuhutubia, akiwa eneo la Shoprite alikutana na foleni(jam) kubwa ya magari, akaamuru gari yake imshushe, akasimamisha bodaboda na kupanda, akachapa lapa, huku wanaArusha wa eneo hilo wakipiga mayowe ya furaha na vigelegele!

  Jamani Arusha kuna maajabu sana...naamini watu wengi watapigwa butwaa na matokeo ya Arusha!
   
 10. Catagena

  Catagena Member

  #10
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watabana wataachia, lakini kwa kweli watanzania mwaka huu tusidanganyike....Ni lazime waache uhuni wa kisisa wanaoufanya...Kubebana kiukoo n.k.
  Tujitokeze tukapige kura, tena kurA SAHIHI....(CHADEMA HOYEE)
   
 11. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mie Habari niliyo ipata tokea huko ni kuwa ati kuna mdahalo umeandaliwa na Mama Batilda ameukacha tena huo mdahalo sasa kama nawe ambae ni wa huko Arusha umeambiwa amejifungua basi tupe updates zaidi jamani kumbe mama alikuwa mjamnzito??

   
 12. T

  TripleDDD Member

  #12
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana Kulikuwa na Mdahalo wa wagombea wote na viongozi wa dini kilichotekea pale Arusha ni aibu tupu.
  Madhehebu yakaanza kuulizan nyie msikitini au kanisani mmetangaza nini kuhusu huyu asichaguliwe cos of sio wa upande
  wetu.

  yaani hapa yulipofika ni shida Mungu atusaidie, aibu sababu waliyosema hayo maneno walikuwepo pale wakawa na kugugumizi.
  Huu udini sijui utatupeleka wapi, mbona miaka ya nyumba hii haikuwa issue kabisa sasa iko kwenye chat, viongozi
  badala ya kukana au kutuonyesha njia ndio wanashabikia. mama batilda akaulizwa kama waziri hata aweke msimamo kama taifa
  kumbe nae ndio anapotaka kuponea kura mmmh.
   
 13. T

  TripleDDD Member

  #13
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo hii tarehe 23/10 kuna mdahalo pale Golden rose na mama batilda kaingia mitini

  CCM bwana zii kweli kweli badala ya kikwete anaenda Kinana mmmh sijui kama unaweza kumtuma mkeo akalale na
  mtu kukuwakilisha
   
Loading...