Mwalimu Aliyenitumia SMS Kumponda Dr. Slaa Asema Mambo Hayaeleweki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu Aliyenitumia SMS Kumponda Dr. Slaa Asema Mambo Hayaeleweki

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 23, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,809
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  Kuna Tcha fulani huko jimboni kwa Mzee wa Kilimo cha Mchicha New Zealand aliwahi kunitumia SMS ya propaganda kuwa Dr. Slaa si kitu si lolote.

  Hivi majuzi nilizungumza naye kwa simu na kunieleza kuwa "mambo yenyewe hayaeleweki na sijui hata kama nitapiga kura maana tunafunga chuo tarehe 4 November"

  Jamani CCM mwaka huu kunani??
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,015
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  duuuuh
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 9,609
  Likes Received: 2,489
  Trophy Points: 280
  mbona hueleweki wewe hebu soma ujumbe wako halafu ujaribu kufikiria kama umefika kwa kadamnasi na kueleweka
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,809
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280

  Labda wewe ni mgumu wa kuelewa.

  Kwani wewe hujui kama walimu ndiyo wasimamizi wa kura za CCM?

  Sasa anaposema mambo hayaeleweki kuna cha kuuliza tena hapo?
   
 5. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,268
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli haeleweki
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,809
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  post 47?

  Huwezi kuelewa hata ukieleweshwa.

  Nikueleweshe? Nimesema: Chagua Slaa.
   
Loading...