Asante sanaKweli nchi yetu ina wazalendo.luat star tv,the guy is smart na real patriotic
JK hahitaji kuomba ajira kwenu kwani yeye ndiyo mwajiri mkuu kumbuka maneno aliyoyatoa siku alipoongea na wazee wa dar....UKWELI UNABAKI PALEPALE NI WAZI MDAHALO NI KAMA INTERVIEW KWA ANAYEHITAJI KUAJIRIWA. kama jk anatafuta ajira kutoka kwetu ni dhahiri tunahitaji kumfanyia interview ambayo ndio mdahalo wenyewe na hili si jambo la kumuomba NI LAZIMA, sidhani kama mtu aombaye ajira asipofika kwenye interview atapewa kazi kwa huruma,hii bado haijawahiwi tokea, lakini sie watanzania tunalazimishwa fanya hivyo na viongozi wabinafsi kwa kutumia uelewa wetu mdogo wa kudai kilicho HAKI.
NI VEMA TENA VEMA ZAIDI KWA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA KUFANYA JAMBO HILI KUWA LA LAZIMA..
Ninakupongeza ANANILEA NKYA kwa uzalendo ulituonyesha,simamia mapigano ya haki na Mwenyezi Mungu atukupatia Thawabu zako