Ccm kuwa chama cha kwanza kukabidhi madaraka upinzani baada ya kushindwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm kuwa chama cha kwanza kukabidhi madaraka upinzani baada ya kushindwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jile79, Oct 23, 2010.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni kampeni zimefanywa kwa kiasi kikubwa ba zinaendelea ila kuna kila dalili ccm na kikwete wameshindwa kukata japo 1% ya kiu ya wat ya kuwa na maisha bora na watz wamekichoka chama hiki kizee na inaonesha ccm imekata tamaa na iko tayari kuachia uongozi wa nchi hii kwa amani na utulivu baada ya october 31.

  MIAKA 50 BAADA YA UHURU INATOSHA SANA .TUNASHUKURU CCM KWA KUTUFIKISHA HAPA TULIPO . ACHIENI CHADEMA WATULETEE MABADILIKO YA KWELI.TUNAOMBA MUACHIE NCHI KWA AMANI.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 418,988
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika na hii kauli. Nionavyo watajaribu kufanya kila liwezekano ili kulinda ulaji wao hapo Ikulu..............
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Nasikia kikwete sio mtu wa vurugu na naye anasikitika sana watz kuwa masikini pamoja na rasilimali lukuki walizo nazo hivyo yuko tayari kuachia kwa amani bila kumwaga damu
   
 4. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwani mnafikiri rais ni JK peke yake! ipo timu kubwa sana na hao waliopo nyuma yake ndo wanafaidi hii nchi zaidi ya jk, yaya ni mtu wa kuandikiwa cheque na wakadiposit mawe yake. na sometimes hata safari anapangiwa tu na wajumbe wa taasisi yake ya urais.
  Hivyo hata kama yeye yu radhi kwa kuchoshwa na utendaji mbovu wa jamaa zake, lakini hao jamaa hawatakubali
  na ndio maana sasa wanahaha kugawa rushwa kila kona. Juzi usiku nimeukuta mkutano mkuwa wa wanaccm wakipanga mikakati usiku hopefully ndo mida yao ya kugawana fedha.
  Hivyo bado hawajakata tamaa na wanapigana hadi tone la mwisho huku wizi ukiendelea, chamsingi tuendelee kuwasihi watu waliokata tamaa,
  Bianfsi nakutana nao watu kibao wakisema Hata upigie chama kingine ccm itashinda tu.
  au basi tu ndo hiyo amani, lakini ccm tumechoshwa nayo
  au nasi wasomi kuogopa foleni

  TUWASIHI WAPIGE, NASI TWENDENI, TUWAELIMISHE KUWA, " HATI MILIKI YA AMANI TUNAYO SISI NA SIYO IPO CCM!!!!!!
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  fedha za EPA ALIZOIBA KIKWETE NA CCM YAKE ITATUTESA MIAKA MINGI IJAYO NA ITANUNUA SANA VYOMBO VYA HABARI KM WALIVYONUNUA TBC,CLOUDS, VYOMBO VYA UMMA NK....TUSEME SASA BASI NA KIWETE AACHE KUDANGANYA WATZ KUWA KUNA WATU WANALETA UDINI WAKATI YEYE NDIYO MDINI NAMBA MOJA KWA KUWEKA MAMBO YA DINI YAKE YA KIISLAMU KWENYE ILANI YA CCM NA KUINADI.......AACHE UNAFIKI
   
Loading...