Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Any update kuhusu ubunge kule kwa Mary Nagu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
People some of us are on and of we depend on this forum for updates. Any one with the current status of the presida...countings?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza serikali ya chama tawala imetikiswa na vyama vya upinza, hasa hasa Dr Slaa. Katika hali ya kutatanisha kumekuwepo na ucheleweshwaji wa hali ya juu katika majimbo ambayo CCM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu mtabiri bado hajasema neno......
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Agustine Lyatonga Mrema amefanya "booking" kwa Rais yeyote ajaye ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani ambayo anaamini aliimudu sana. Anasema hajazeeka kwani hata akina Papa Benedict wa 16 bado yuko kazini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika yote yakiyotokea kiteto n aibu. Msimamizi wa uchaguzi hakuutangazia umma matokeo badala yake alitoka ofisini akawapatia wagombea matokeo na kumpatia mshindi cheti bila kuwatangazia wananchi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
JAMANI KWA IDADI HII KUBWA YA WABUNGE NAJARIBU KUVUTA PICHA SIJUI SPIKA ATABADILISHWA MAANA ATAKUWA ANAKAZI NGUMU YA KUZIMA HOJA ZA WAPINZANI:israel:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nani anabeza mguvu ya umma?niwapongeze mmepiga kura kwa fujo,na mmedai matokeo yenu na walipochelewesha ili wachakachue mkawaonyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo,next time hawatarudia.....vijana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukweli lazima ni uweke bayana ya kuwa matokeo ya jimbo la Babati Mjini yalyompa JK kura zaidi ya 5, 000 dhidi ya Dr. Slaa, Jimbo la Siha yaliyompa JK takribani asilimia themanini na Dr. Slaa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wale vibaraka waliotumwa na sisiemu kuja kuchafua hali ya hewa hapa JF muda wao wa kazi umeisha na sasa wanarudi rasmi kwenye shughuli zao nyingine. Ninaamini JF itarudui kwenye status yake ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mnyika atangazwa jimbo la ubungo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbinu inayotumiwa na CCM katika kuchakachua matokeo ya urais, haikabiliwi vilivyo na wagombea ubunge wa CHADEMA. Mathalani, kwa uwezo wangu wa kuona mambo, sehemu nyingi ambapo CHADEMA wameshinda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
ubunge ccm 34412 chadema 43365 cuf 9131 nccr 11970
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kupitia hotiba yake ya mdahalo pale anatoglo, mheshimiwa mkwere aliongelea juu ya uchakachuaji kupitia mtandao. alisema, nanukuu ' nivigumu kuchakachua matokeo, labda wakosee ktk kuingiza matokeo'...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Kama Mbowe na Ndesamburo waliend Arusha mjini kuokoa jahazi, kwa nini Mbowe asije Dar kuokoa jahazi la Kawe kabla halijazamishwa?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi binafsi nampongeza sana Dr. Slaa na CHADEMA kwa uamuzi wao wa kuwania uraisi, maana kwa kufanya hivyo, wameweza kutangaza chama na kuwanadi wabunge na madiwani wetu kwa mafanikio makubwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Najaribu kuwaza Nakaaya Sumari atakuwa na hali gani kwa sasa, hasa baada ya kuanza kushuhudia kwa macho yake maana halisi ya Peoples Power, nakushuhudia mabesti zake almost wote aliowatelekeza...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
Wana JF wa Arusha Fuatilieni eti Batilda amejifungua Mount Meru Hospital?:caked:
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kulingana na mwenendo wa matokeo ya kura za uachaguzi wa majimboni na ya uraisi,kuna kila namna ya sababu kulaumu juu ya ucheleweshwaji wa makusudi wa matokeo ya majumusiho majimboni.ukweli ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MWENYE DETAILS PLEASE KUHUSU mR.CHENGE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom