Sheikh yahaya anazungumza nini juu ya matokeo yanayoendelea kutoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh yahaya anazungumza nini juu ya matokeo yanayoendelea kutoka

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SMART1, Nov 2, 2010.

 1. S

  SMART1 Senior Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mtabiri bado hajasema neno......
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  karibu kwanza ....
  kasema nini??
   
 3. e

  elibariki Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana maana huwa anawatabiria ccm tu maana ndo anawapa walinzi wasioonekana
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 9,922
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  inawezekana amefariki na kilichobaki ni msukule tu wa huyo sheikh wqwa waislamu anayewatabilia vifo waislamu...............
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,009
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  huyu si mshirika wa familia ya jeykey kwa hiyo nadhani kwa sasa yupo bize na ulinzi wa familia ile hadi baada ya kuapishwa
   
 6. Elijah Maliondo

  Elijah Maliondo Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anfuatilia upembezi wa synovate.....
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ameishiwa huyo bado mnahangahika nae nini
   
 8. C

  Challenger M Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Itabidi channel 10 waende wakamhoji maana ndio wanamrusha sana.
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,778
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  Amekufa
   
 10. m

  mimione Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitafurahi sana kama amekufa maana mh vitu anavyoongea kvinatoka kwa wafu wenzake.
  Simpendi jamani
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 8,494
  Likes Received: 2,120
  Trophy Points: 280
  Ni kweli AMEKUFA ila hawataki kutangaza wanataka kuchakachua.
   
Loading...