Kiteto matokeo ni aibu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiteto matokeo ni aibu!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ndyoko, Nov 2, 2010.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Katika yote yakiyotokea kiteto n aibu. Msimamizi wa uchaguzi hakuutangazia umma matokeo badala yake alitoka ofisini akawapatia wagombea matokeo na kumpatia mshindi cheti bila kuwatangazia wananchi matokeo kama ilivyofanyika kwa majimbo mengine. iLI KUJUA MATOKEO ILIBIDI KUWAVAMIA WAGOMBEA KUJUA KILICHOANDIKWA!

  Matokeo:
  CCM 25,308
  CHADEMA 13,786
  cuf 461
  nccr mAGEUZI
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,857
  Likes Received: 2,020
  Trophy Points: 280
  NEC ya Makame na CCM hiyo!!! Mambo kinyumenyume tu!!
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  lakini matokeo si ndiyo yenyewe no ni hizo hizo?ameogopa kelele za washindi!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Kutangaza ni lazima labda dhamira yake imemsuta
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  tupatie jina la mshindi!
   
 6. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Akishinda unayemtaka ni sawa, akishinda usiemtaka ni aibu, aibu kwako au kwa mgombea alieshindwa, ailiyeshinda, demokrasia ya wapi hii?
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Hyo yote yana mwisho ndugu zanguni.
   
 8. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duuuuuuuuu yaaani Kimesera kabwagwa? kweli Nangora na CCM ni noma, akate rufaa Kimesera maana kuna harufu ya kuchakachua kura hapo.:doh:
   
 9. N

  Nanu JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kashinda kihalali tu. Ladba kama kuna mizengwe mingine!
   
 10. k

  king ndeshi Senior Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wana nazani TUME wawe wanakagua VYETI VYA wanaojumlisha kura,SABABU WENGI INAVYOELEKEA HAWAJUI HESABU RAHISI ZA KUJUMLISHA NA KUTOA,mpaka nnavyoongea maeneo mengi matokeo hayajatoka kisa BADO WANAHESABU KURA.shame:israel:
   
 11. P

  PEDE Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msimamizi wa Jimbo hilo anajua alichokifanya, Democracy haipo hivyo.Anaficha nini-Harufu ya Uchakachuaji (RUSHWA).
   
Loading...