Matokeo ya Uraisi ya Siha, Babati Mjini na Bukoba Mjini yaashiria mchezo mchafu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Uraisi ya Siha, Babati Mjini na Bukoba Mjini yaashiria mchezo mchafu....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Nov 2, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  Ukweli lazima ni uweke bayana ya kuwa matokeo ya jimbo la Babati Mjini yalyompa JK kura zaidi ya 5, 000 dhidi ya Dr. Slaa, Jimbo la Siha yaliyompa JK takribani asilimia themanini na Dr. Slaa kumshinda JK kwa kura kiduchu za karibu 1,000 jimbo la Bukoba Mjini ni ishara ya kuwa Dr. Slaa hawezi kushinda chaguzi hii...Nitafafanua...na yawezekana ni kwa sababu ya mchezo mchafu.......

  Jimbo la Siha lipo mkoa wa Kilimanjaro ambalo ni ngome ya Chadema na tungelitegema ifanye vizuri lakini haikuwa hivyo...............Mgombea wa ubunge wa Chadema Mhandisi Tuni niliongea naye jana kwa simu na aliniambia kulikuwepo na uchakachuaji wa matokeo mkubwa na alitaja ununuzi wa shahada za wapigakura kuwa ndiyo kiini cha Chadema kushindwa kwenye uchaguzi huo.......

  Jimbo la Babati Mjini nilienda huko kabla ya uchaguzi na wengi niliongea nao ndani ya CCM walisema Dr. Slaa angelishinda kura za uraisi ila ubunge na madiwani CCM ingeendelea kutesa..sasa ni nini kimetokea hadi JK akalishinda jimbo hili kwa kura takribani 5,000 zaidi ya Dr. Slaa.....ni maswali yanayodai majibu ya haraka sana......

  Jimbo la Bukoba Mjini nalo linatia mashaka mno........Dr. Slaa kamshinda JK kwa karibu kura 1,000 lakini Lwakatare wa Chadema kashindwa kwa karibu kura 600 hivi...............How comes na tunajua wapigakura wetu walivyo wapenzi wa mafiga matatu?

  Haya majimbo yanatia wsiwasi kuwa kura zimechakachuliwa kumbeba JK tu sioni maelezo mengine
   
 2. d

  david2010 JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  My brother its posible that ccm did much worse things and God only can defend us but let keep praying we still have more posiility to win.
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  kaka tusikate tamaa bado tume haijamtangaza mshindi
   
 4. P

  Pattie Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa kuna uchakachuaji wa matokeo, kwanini hata kwenye Tv hawataki matangazo kuhusu kura za uraisi yatangazwe?
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wakuu ninavutiwa sana na kimya cha dr. slaa
  naamini anajua afanyacho kwani anajua kuwa anaibiwa kweupeee.
  subiri aje kuwaumbua na data za ukweli.
  safari hii hatoki mtu.
  watuuue wooote lakini haki itasimama
   
Loading...