Elections 2010 Bado nampongeza Dr. Slaa....!

Kipenzi Chao

Member
Oct 12, 2010
99
4
Mimi binafsi nampongeza sana Dr. Slaa na CHADEMA kwa uamuzi wao wa kuwania uraisi, maana kwa kufanya hivyo, wameweza kutangaza chama na kuwanadi wabunge na madiwani wetu kwa mafanikio makubwa sana...! Mimi hadi hatua hii nampongeza sana...! Please Dr. Slaa, Thanks a lot, and God bless you...! This is a very big step ahead...!
 
Uamuzi wa kumteua Dr. Slaa kuwa mgombea urais ulikuwa ni wa busara sana na ulikuja kwa wakati muafaka. Kwani vinginevyo ule utabiri wa REDET, SYNOVET na Sheikh YAHYA ungekuwa umekwisha timia tangu jana na sasa hivi tungeshapata matokeo ya ushindi wa kishindo wa chama cha mafisadi wanaovaa nguo za kijani na njano
 
Huko ndiko kujitoa muhanga kwa manufaa ya masikini wanyonge ccm wameshika adabu hawatathubutu kuwa wameshinda uchaguzi huu!shame on them!!!
 
slaa ndio chanzo cha mabadiliko ya kisiasa nchini pongezi zake kamwe hazihesabiki na ni shujaa atakaekumbukwa daima
 
Dr. Slaa ndo chachu ya ushindi kwa kambi ya upinzani bara kujinyakulia majimbo mengi katika uchaguzi huu. Usijione kama umepoteza Dr. huu ni mwanzo tu. Tunajuwa kwa hakika kuwa, kihalali UMEKISHINDA kwa aibu kubwa Chama Cha Mafisadi lakini wamechelewesha matokeo kwani wanachakachua kura mchana kweupe bila aibu. MUNGU MKUU akianza kuwa-adhibu kwa udhalimu wao, ushindi utakuja kwako kwani ni halali yako. Ikulu utaingia tu kabla ya 2015 kwani Mungu amesikia kilio cha watanzania, acha sasa wajifurahishe kwa upumbavu wao.
 
Back
Top Bottom