Tunamuomba Mbowe Aje Kawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunamuomba Mbowe Aje Kawe

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzalendo101, Nov 2, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mzalendo101 Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Mbowe na Ndesamburo waliend Arusha mjini kuokoa jahazi, kwa nini Mbowe asije Dar kuokoa jahazi la Kawe kabla halijazamishwa?
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nguvu ya umma pale kawe inatosha watatangaza tuu
   
 3. S

  SUWI JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Atakuja dont worry!!!! wale ni wazee wa kazi
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  lazima watangaze,kwanini wanachelewa kutangaza? au wanataka kuchakachua?
   
 5. S

  Selemani JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  lol

  Kwani kuna Disco Kawe? Hawatafuti DJ. Halima Mdee carried Kawe already.
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ndesa ebu make use of the Chopper pls kwanza KIA ndege Nyingi tuu jamani nendeni mkatie hamasa pale na mumpe moyo dada yetu Mdee wasije mnyongea baharini
   
 7. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hili jimbo mimi linanipa sasa presha !!! Khaaa.. Haya mahesabu ya kujumlisha number ndio magumu hivi
  hapo kawe au ?????

  People'sssssssssssssssssss ................................... ???
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona wameachana na hesabu za kawaida wameenda kuapply Calculus
   
 9. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mdee ashaanguka kwa taarifa za haraka haraka
   
 10. e

  ezra1504 Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii tume imejaza Vilaza wasiojua mahesabu ndo maana Kikwete alitamba kwamba huenda jamaa wanageuza digits.Haya mambo si unaingiza ktk excell sheet unapata total wakishakubali mnatia sahihi then mambo ya kuscan watafanya baadae?Ni mbinu chafu za CCM ndo maana wanafanya hivyo. Hukumu yao inakuja kwani watanzania wameonyesha kwamba wao sio mbumbu tena.
   
 11. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Chadema ni chama kilichojipanga, napenda kusisitiza hakuna haki ya CHADEMA itayoporwa na CCM kawe. Wamejifunza kutoka Kenya. Hata akija Mbowe bado Halima Mdee atashinda tu. Kila kitu kinachoendelea Chadema inakifahamu. Subili ujio wa Dr.Slaa hadharani.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Hivi Mirembe ulitoroka au uliruhusiwa na daktari?
   
 13. N

  Noel Lemanya New Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona watu wanatoa taarifa ambazo si za kweli. hii siyo sawa. Mara halima Mdee kashinda ghalfla tena kashindwa, mara Mpendazoe kashinda te na comfermed mara bado! mbona tunachnganyana aesee.
   
 14. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi hizi habari zinazobadilika badilika zinaniumiza tumbo.kama hamna ushahidi na matokeo basi wacheni tusubiri tume watangaze.
  uhakika mdee ndio mbunge wa jimbo langu.
   
 15. k

  king ndeshi Senior Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wana nazani TUME wawe wanakagua VYETI VYA wanaojumlisha kura,SABABU WENGI INAVYOELEKEA HAWAJUI HESABU RAHISI ZA KUJUMLISHA NA KUTOA,mpaka nnavyoongea maeneo mengi matokeo hayajatoka kisa BADO WANAHESABU KURA.shame:israel:
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...