Nini mtazamo kuhusu spika atabadilika au?


C

Challenger M

Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
81
Likes
0
Points
13
C

Challenger M

Member
Joined Oct 31, 2010
81 0 13
JAMANI KWA IDADI HII KUBWA YA WABUNGE NAJARIBU KUVUTA PICHA SIJUI SPIKA ATABADILISHWA MAANA ATAKUWA ANAKAZI NGUMU YA KUZIMA HOJA ZA WAPINZANI:israel:
 
K

kabindi

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
334
Likes
2
Points
35
K

kabindi

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
334 2 35
SPIKA NI MTU WA WATU! Pale anapopindisha kidogo anataka mambo yaende mbele! kumbuka kama asingekuwa yeye kuachia wapiganaji wakazungumza, leo hoja nyingi zingekuwa zimepotea na tusingejua kitu! Mimi namuaminia! na SASA hatakuwa na upenyo mbele ya TUNDU LISU! yeye ni MWAMBA MKUU! akishirikiana na wapiganaji mahususi kutoka Upinzani na ndani ya CCM!
 
marshal

marshal

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
354
Likes
33
Points
45
marshal

marshal

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
354 33 45
Pamoja na yote,spika aliekuwa madarakani alijitahidi kufanya kazi kulingana na sera na taratibu za uspika.lakini kuna maswali makubwa yanayojijenga around him
1.kuandika vimemo kuwakanya wana cccm wabunge kuongea mambo yanayokiuka matakwa ya chama e.g kwa ane kilango
2.kuamua kuzima hoja ya richmond ambayo serikali ilikuwa bado haijatekeleza maagizo yote ya tume
3.kutokuwa mzalendo kwa kushiriki kuponda wabunge waliokuwa na hoja juu ya kupunguza malipo kwa wabunge
4.kusimamia mijadala na kuipitisha bila kufanya marekebisho ya msingi ambayo mara nyingi ilikuwa ikitolewa na kambi ya upinzani.
5.kushiriki kama mbunge na spika kupitisha sheria zinanazokandamiza uhuru wa habari na minority.
Kwa hoja hizo hapo juu,naona bado hatujapata viongozi kama che guavara aliye sema " i rather die standing tha live kneeling" huo ndio ukweli kuna kipindi spika ana kneel kwa ccm na viongozi wa chama.huu ni mtazamo wangu
 

Forum statistics

Threads 1,252,312
Members 482,076
Posts 29,803,508