Elections 2010 Hongera vijana wa rock city

mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
46
Nani anabeza mguvu ya umma?niwapongeze mmepiga kura kwa fujo,na mmedai matokeo yenu na walipochelewesha ili wachakachue mkawaonyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo,next time hawatarudia.....vijana sehm zingine amkeni mkomboe nchi
 
asante
tuko pamoja na kawe,ubungo,manyara nk nk
wanakozuia matokeo adi sasa hivi?jumanne 2/11/2010
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom