Elections 2010 uchakachuaji wa matokeo Kikwete aliutabiri

shade

Senior Member
Oct 29, 2010
155
39
Kupitia hotiba yake ya mdahalo pale anatoglo, mheshimiwa mkwere aliongelea juu ya uchakachuaji kupitia mtandao. alisema, nanukuu ' nivigumu kuchakachua matokeo, labda wakosee ktk kuingiza matokeo' mwisho wa kunukuu.
alichosema ndio kinafanyika sasa. nec inakosea kuingiza matokeo kwa kubadilisha kura haswa za urais.
 
Anajua sana tunajua kwamba matokeo ya urais yamechakachuliwa. Asubiri moto awake atakapotangwa mshindi!
 
Back
Top Bottom