Dr kikwete - gorbachev wa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr kikwete - gorbachev wa tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matawi, Nov 1, 2010.

 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jamani kitendo cha huyu Mkwere kukiua CCM kwa kufanya ni chama cha familia, kuwakumbatia mafisadi, kuuza migodi kwa wageni nk ni kitendo cha kuungwa mkono sana maana bila kufanya hivyo
  1.Zingetoka wapi ghadhabu za wananchi kukichukia chama?
  2.Wamachinga wangepata wapi ujanja wa kupigia kura Chadema?
  3. Slaa angepataje nguvu ya kupambana na ccm?
  4.Viongozi wa dini wangepata wapi jeuri ya kuikataa ccm hadharani?

  Asante Kikwete umeibadilisha Tanzania:israel: kampumzike salama pale Usogi. Tafadhali usiondoke na funguo za ikulu tunataka tuanze kudeki
   
 2. T

  The King JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usisahau pia jina ambalo Watanzania tulimpa la msanii, hili linapendeza sana kuliko la Gorbachev. Usanii kwenye uongozi wa nchi :nono::nono::nono:
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mkuu umenikumbusha HISTORY 3 enzi izooooooooooooooooooo.
  The fall of USSR under Mikhael Gorbachev,naona yanamnyemelea JK sasa usije kuta amelazwa
   
 4. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  His LEGACY tutamkumbika kwa mabadiliko!!!!!!
   
 5. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  To early kumuaga mkuu!!! Umemsahau Jaji Mstaafu Makame!!!:doh:
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CHUKI BINAFSI, TAJA NI MIGODI IPI JK AMEUZA? HALAFU TAJA YA MKAPA. chuki nyingine ni zakijinga sana. sijui kwa sababu ya imani yako, anyway I do not know what excatly is.
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kivuitu wa tanzania.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  unafikiri bunge linalokuja ataliweza?? mwe!! TUNDU LISU NDANI HAHAHA HEHEHEH
  LET WAIT....NEXT RAIS IS SLAA
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280

  Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
  [​IMG]
  Thank you for supporting JF! <---(click to support us)
  Waliochangia 2010: <--- (click to read)
  <A href="https://www.jamiiforums.com/355625-post4.html" rel=nofollow target=_blank>JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read)
  :coffee:
  24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com
  [​IMG]
   
 10. l

  lily JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kikwete akiishaapishwa tu anaanza safari zako za kila siku na kuhudhuria makitchen party
   
 11. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama kinachotaka kuuawa kinachukua viti vya ubunge kwa 80% na urais kwa zaidi ya 70%?

  Undondo nao una mipaka yake ati! Teh teh teh!!!! :smile-big:
   
 12. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kawa! Na wewe lipiza kwa safari za Kimara - Moshi kuhudhuria ma-send off party! Teh teh teh!!!!
   
 13. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  80% Kihalali au kwa kubaka demokrasia. Ukweli msingepata zaidi ya 55% kwenye uchaguzi huru na haki
   
Loading...