Chadema chama cha umma - nguvu ya umma - ushauri - 'plan 'b' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema chama cha umma - nguvu ya umma - ushauri - 'plan 'b'

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Not_Yet_Uhuru, Nov 2, 2010.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  My Plan B is here:

  Mkakati wa Wapambanaji Ndani ya Bunge Lijalo;
  * New Electoral Commission (Tume Mpya na Huru ya Uchaguzi)
  * Mabadiliko ya Katiba, kuondoa Viongozi CCM kuwa wakala wa Tume Mikoani (Wakurugenzi na Watendaji)
  * Kubadili Katiba ili Rais aweze kuwajibishwa kwa kosa lolote la kwake au mtendaji wake.
  * Kupunguza Mamlaka ya Rais kuteua mtu yeyote, lazima athibitishwe na Bunge.

  Hii yote ilkifanikishwa kwa 85%, ifikapo uchaguzi mwaka 2015 - Kutakuwa Chama cha Kijani Tz...watabaki 'Masalia' tu.

  Na kuanzia sasa, hakuna kulala, kazi inaanza baada ya uchaguzi huu!

  Nawakilisha.....People's Power!!
   
 2. October

  October JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  **Kuishinikiza serikali kuwachukulia hatua mafisadi wote bila kuangalia sura.
  **Waliohujumu mali za Umma kulipishwa
  **Kushinikiza kupitiwa upya mikataba yote ya madini.
  **Kushinikiza kuondoa matumizi mabaya ndani ya Serikali
   
 3. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Sure...that shows that the list is long...Yapo mambo mengi!

  May be tutakuwa na Plab 'B (i)' na 'B(ii)' na B (....?), THEN plan 'C'
   
 4. H

  Haki JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema hakitodumu kwa muda mwingi. Kitakuwa kama NCCR-Mageuzi-TLP. Hizi sababu chache ambazo inabidi uziangalie kabla 2015.
  Kuna factors nyingi sana ambazo zimefanya Chadema kuanguka ktk uchaguzi wa mwaka huu.
  1:Kwanza Udini umeimaliza Chadema. Chadema hakina haki sawa ktk uongozi.
  2: Slaa alikuwa hana point za kiuchumi kuwafanya wasomi wengi wampigie kura.
  3:Kashfa iliyomkumba kuhusu mke wa watu, imefanya upinzani kuwa weak, pamoja na Chadema.
  4: Degree aloyosomea ya Upadre haihusiani kabisa na Maisha ya MTZ.
  5: Chadema bado haina wafuasi wa dini ya Kiislamu.

  Chadema kama inataka iendelee ktk siasa za TZ, inabidi waangalie hizo agenda. Wataweza vipi kuwashawishi Waislamu ktk Chadema. Nilikuwa naongea na Waislamu wengi, ambao walikuwa hawamuamini Dr. Slaa. Wanaamini kwamba Dr. Slaa atakuwa kama Nyerere. Hili ni Tatizo kwa Chadema.

  Solution:
  1:Ungana na CUF, TLP, NCCR.
  2:Toa ahadi kwa Waislamu, waambie Waislamu kwamba mnaonewa na CCM.
  3: Dr. Slaa, kuwa karibu na Waislamu, na ondoa FIKRA kwamba JK anapendelea Waislamu.
  NK.
   
 5. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  acha sera za udini wewe!! mtz utaelimika lini? peoples power haiana uislamu wala ukristo.
   
 6. Ssebo

  Ssebo Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 77
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Kama kura zinapigwa kwa kufuata "religious grounds", basi Tanzania bado saaaaaaaaaaaaaaaaaana!
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nani kakwambia CHADEMA imeanguka acha fikira mgando chadema iko juu muulize hata Masha,Mramba,Dialo,Marimo.....watakwambia, sijui umetumia kigezo gani kufananisha na NCCR-Mageuzi
   
 8. H

  Haki JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Solve the problem first.
   
 9. H

  Haki JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kura ktk nchi zilizoendelea zinapigwa kwa sababu ya policies, ideologies (Conservative, progressive). Tanzania hatuna vitu kama hivyo. Angalia vitu vilivyoimaliza CUF bara. Siyo kwa sababu walikuwa Wadini, No, CCM walitumia udini kuimaliza CUF bara. Na CUF walishindwa kuadress hizo issue in Public level.
  Sasa hivi CCM wanatumia same policy za UDINI kuimaliza Chadema. Sasa kama Chadema wanataka kuovercome hizi issue inabidi waziadress in a public level. Chadema haiwezi kukaa bila ya action.
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Umeniumiza sana mkuu sikutegemea mtu kama wewe aweza kuwa na fikra mgando kama hizi.
  Jamaa aliandika hivi
   
 11. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wewe HAKI unaonekana unazo chuki au hasira za kipigo....pia, unazo fikra za kidini, na hata kisiasa hauonekani kuwa na vision....CHADEMA ingekuwa na namna ya kidini, hata Sabodo (Muislam kamili) asingepoteza senti yake kuichangia Chadema...

  CHADEMA imekuwa-suprise hata CCM hadi sasa wanakimbiana, Kinana kakiri kipigo, lakini wewe unasema CHADEMA imeanguka...embu mwenyewe jitathmini upo mstari gani? Wewe subiri usikilizie moto bungeni kama wewe bado unaihusudu CCM! usije kudondoka kama JK mwenyewe! Kaa utulie!
   
 12. njiwamanga

  njiwamanga Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yote yanayotakiwa si ya Chadema pekee yao.Iwe plan yetu wananchi tushinikize kama shinikizo la kudai matokeo.
  Tatizo wanasheria wetu wanatusaliti
   
 13. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wana JF. Can i suggest somethin? LETS NOT COMMENT ON HOJA ZA KIPUUZI. Mtu akileta hoja yakijinga, tukataetu kumjib. Mwishowe tunaonekana wajinga kujibizana na wajinga wa ccm
   
 14. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Chadema hubirini ukombozi wa nchi hii. Wanaoendekeza udini achaneni nao. By the way, muislam ni muislam tu. mafundisho yao yanalenga kumchukia asiye mwislamu. Pamoja na yote hayo, Dr. Slaa anaingia kwenye orodha ya mashujaa wa nchi hii na kishindo chake kitaitikisa nchi ifikapo 2015. Chadema inaendeshwa kisayansi siyo kidini wenye akili pungufu wanavyodhani.
   
 15. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ni kweli tusije tukawa kama "manyuzi".
   
 16. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa NCCR is the party to watch 2015, sasa naanza kuona mantiki ya mtazamo wake. CHADEMA hakitakuwa kama NCCR bali kina hatari ya kuwa Just another CUF....the party of disgruntled ones of the other side .......

  kuepuka yote hayo CHADEMA and CUF have all the reasons kuanza kuheshimiana na kujenga mazingira kuaminiana ili huko mbeleni waweze kushirikiana kama sio kuungana maana their survival as main parties will depend on that....
   
 17. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Haki............ mbona una mawazo finyu? mbona una udini? mbona CUF haina wafuasi wengi bara? mbona wafuasi wengi wa CUF wapo sehemu za mwambao tu .........
  Mbona CHADEMA hawasemi kwamba CUF ni chama cha udini ........ mbona ...... mbona ........... fikiria kwanza kabla ya kuandika. Tanzania itajengwa na wenye moyo na upendo na sio wenye udini :israel:
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  crap!
   
 19. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Vijana machachari kama LISSU wameshaingia bungeni sasa. Hivi vyote vitafanyiwa kazi. Wote wenye moyo na nia njema na nchi yetu waendelee kuchanga mawazo. Yatafaninyiwa kazi, jasho letu halitaenda bure:smile-big:
   
 20. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja. Tuhakikishe haya yanafanyika.
   
Loading...