Eti TUNGOJE 2015, HAKI SASA IIBIWE. CHADEMA HATUDANGANYIKI .... Full STOP..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti TUNGOJE 2015, HAKI SASA IIBIWE. CHADEMA HATUDANGANYIKI .... Full STOP.....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by werawera, Nov 3, 2010.

 1. w

  werawera Senior Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  :A S cry:Ina maana watu wengine mnataka tuendelee kuumia kwa miaka mingine mitano (5).:sad: Tukumbuke kwa jinsi hali ilivyo bungeni sasa CHADEMA tuna wabunge wachahe ina maana tukitaka kupitisha sheria ya kuweka TUME HURU YA UCHAGUZI kura za NDIO hazitatosha kwani tunazidiwa na CCM ambao wengi wao wataipinga. Hivyo hata 2015 au hata 2030 mambo yatakuwa yaleyale. hata sheria zingine zitakuwa ngumu kuweka. Mwenye nguvu kubwa ni RAIS kwa KATIBA ya sasa.
  JAMANI TUNAIBIWA HAKI YETU NA TUNAKAA KAMA KONDOO. KWELI NDIO MAANA MAFISADI WANAONGEZEKA KILA KUKICHA TANZANIA. NI MAHALI AMBAPO MWIZI ANAIBA AKITOKA NJE ANAPIGIWA MAKOFI NA KUWEKWA MKUU WA KITUO CHA POLISI BADALA YA KUPIGWA MAWE.
  Wajameni kama vipi tuingie mitaani tugome, wahawezi kutupiga virungu sisi wote, DK SLAA anahitaji nguvu yetu sisi TUKINYAMAZE yeye akianzisha ataonekana ataka kuleta vurugu tu bila sababu. :evil::evil::evil::evil:
  Peoplesssssssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrr ......
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  octobeeeeriz
   
 3. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Uko sahihi. Binafsi naona hawa CCM wanatuona mazezeta wa kutupwa, yaani wanapindisha kila kitu. Binafsi JK simtambui kama Rais na ninaweza kuwakikishia waTZ kuwa miaka mitano ijayo hali itakuwa ngumu isiyoweza kuelezeka kwa maneno.
  CHADEMA itoe tamko na mapinduzi kama ya CHINA yaanze mara moja. China walifanya mapinduzi si kwa kutumia jeshi bali Peoples' Power!
  Tunaomba mawazo wanaJF
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mapinduzi sio lazma chadema itamke bali nguvu ya watu ndio inatamka automaticaly.
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Ingependeza kama wapinzani wangepata angalau theluthi moja yaani wabunge 80; wangekuwa na uwezo wa kukwamisha miswaada isiyo na maslahi kwa Taifa. Kwa mwenendo wa matokeo, maamuzi yote yataendelea kutegemea chama tawala
   
Loading...