Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, amemteua Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Maalim Seif amewahi kushika nyadhifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WanaJF, nimeamua kutoshiriki kupiga kura kwa chaguzi zijazo hata kama nitapoteza haki yangu ya msingi, unless otherwise, Katiba ya Uchaguzi ibadilishwe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa Tume huru ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani najiuliza maswali sipati jibu.hivi umaarufu wa zitto kigoma,ameshindwa kuisaidia CHADEMA kunyakua majimbo zaidi?kwa nini imekuwa NCCR MAGEUZI kinara huko?ina maana Zitto hakufanya jitihada...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Hi JF Hivi wabunge wa CHADEMA waliochaguliwa ni wangapi? Ni yupi si mbunge katika orodha hii chini? 1. Wapinzani walioshinda hawa hapa 1.Halima James Mdee -Kawe/Chadema 2.Tundu Lissu -...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna wanaodai mabadiliko yaliyotokea kwenye uchaguzi uliopita ni matokeo ya ccm kuteleza kwenye kura ya maoni,Wengine wanadai ni matokeo ya watanzania a.k.a Watanganyika kukichoka chama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
N aamini watendaji wako Mh. Rais Kikwete wanasoma taarifa mbalimbali kupitia jukwaa hili hivyo watakupa salaam zangu. Ninaandika haya kama raia wa Tanzania mwenye nia njema na maendeleo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wadau wa JF, Wakati huu tunapojipongeza kwa kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni, hususani chama mbadala CHADEMA, na baada ya kufahamu wabunge wateule wa viti maalum...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maana ya ufisadi kwa mujibu wa uhalisia ni mtu yoyote anaehujumu mapato yoyote,iwe ya serikali,chama,biashara(hata kama ni yako mwenyewe)familia,ushirika na mengineyo,sasa jiulize wewe sio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umati uliofurika unatisha. Ni maelefu kwa maelfu. Vuvuzela za wapinzani wake zilipigwa ili watu wasisikie vizuri lakini wapi, watu wamekomaa tu. Ama kweli Slaa anapendwa. Baada ya kumaliza...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
1. MANISPAA YA ILALA The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage JIMBO LA SEGEREA HALINA MATOKEO, 2.MANISPAA YA KINONDONI The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Katika kutafakari saaana na kuangalia ndani ya CCM kwa wale walio chukua form kuwania nafasi ya USPIKA wa Bunge(10). Nimepatwa na wasiwasi saana, kwani naonavyombo vyote vya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
CHADEMA: Matokeo yetu yamehujumiwa Na Alfred Lucas - Imechapwa 03 November 2010 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatuhumiwa kuhujumu matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
What is your take from this article! This is what I read perhaps initiated by January for his publicity but the international journalist gathered further information to complete sides and that...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Maadam uchaguzi umekwisha na rais wetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ameshakabidhiwa mamlaka ya kuiongoza nchi yetu nadhani huu ni wakati muafaka wa kuzungumzia kero za wananchi -Mnataka JK afanye...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar yaliyofanyika hivi karibuni yamenifanya niwe na maswali hasa baada ya Dr. Shein kuanza kuteua wateule wake. Juzi aliteua wajumbe 8 wa Baraza la Wawakilishi kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimepitia katiba toleo la 2005, sijaona lolote kuhusu kiongozi wa upinzani bungeni. Nimepitia Kanuni za Bunge zinasema kutakuwepo na kiongozi rasmi wa upinzani bungeni lakini hazikutajwa sifa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sote tunaamini kila mwana nchi halali ana haki ya kumiliki Mali na kuitumia kwa mujibu wa Sheria.. na kama atanyang'anywa mali hiyo basi iwe kwa maridhiano ya mwenye mali hiyo na kwakulipa Fidia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanaJF,habari za majukumu mbalimbali mliyonayo. Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wale wote kwa njia moja ama nyingine mmeshiriki kuniunga mkono kabla,wakati na baada ya...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
kwanza niwapongeze wana JF popote mlipo. Nimejaribu kufuatilia thread nyingi katika forum hii na nimegudua kuwa watanzania wengi wanasubili nini Dr. Slaa atasema ili watekeleze. Hii inaonesha ni...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…