Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,807
- 621
Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa tukukumbuke kwa lipi usije ukatujibu "mnnikumbeke kwa kuwatoa pale na kuwafikisha hapa" Ninao uhakika mbele za mungu kuwa hukuwa chaguo halisi la kuwa Raisi wa nchi kubwa kama hii (labda mkuu wa mkoa) kwa kuwa umeprove failure, LAKINI huu ndo muda wako wa kujisafisha msije kunya maji kwa karai. Ondoa washauri uchwara, Wapambe nuksi,Kujipendekeza kwa balozi wa marekani (anakudharau),safari za kuomba vyandarua nk Badilika baba nchi itakushinda..