Hata hawa ni MAFISADI

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Maana ya ufisadi kwa mujibu wa uhalisia ni mtu yoyote anaehujumu mapato yoyote,iwe ya serikali,chama,biashara(hata kama ni yako mwenyewe)familia,ushirika na mengineyo,sasa jiulize wewe sio fisadi?Haujawahi kuwa fisadi,je wewe sio fisadi papa mtarajiwa,maana unakuwa fisadi kwa kiwango cha mahali uliopo,usione haya kukubali ukweli huu,badilika,usije ukachaguliwa ukawafanya waliokuchagua kama waliompa mbwa kazi ya kumuua chatu!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom