Elections 2010 Website ya tume vipi??

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,672
2,000
1. MANISPAA YA ILALA The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
JIMBO LA SEGEREA HALINA MATOKEO,

2.MANISPAA YA KINONDONI The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage HAIPO KWENYE LIST YA MATOKEO

3. KARATU The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage HAIPO

4. MBEYA The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage JIMBO LA MBEYA VIJIJINI HALIPO

5. TARIME HAIPO

6.SHINYANGA MJINI HALIPO

7. BARIADI ZOTE MBILI HAZIPO

8. BIHARAMULO MASHARIKI HAIPO

NAJIULIZA, BADO WANAENDELEA KUCHAKACHUA?? MANAKE MAJIMBO AMBAYO CHADEMA WAMESHINDA NA HATA YALE TUNAYOAMINI TUMEDHULUMIWA HAKUNA MATOKEO YAKE
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom