Elections 2010 Wabunge wa kuchaguliwa chadema ni 23 au 22?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Hi JF

Hivi wabunge wa CHADEMA waliochaguliwa ni wangapi? Ni yupi si mbunge katika orodha hii chini?

1. Wapinzani walioshinda hawa hapa

1.Halima James Mdee -Kawe/Chadema
2.Tundu Lissu - Singida Mashariki/Chadema
3.Mustapha Quorro Akonaay- Mbulu/Chadema
4.Israel Yohana -Karatu/Chadema
5.John Mnyika -Ubungo/Chadema
6.Silinde David -Mbozi Magharibi/Chadema
7.Felix Mkosamali -Muhambwe/NCCR Mageuzi
8.Salvatory Naluyaga Machemuli-Ukerewe/Chadema
9.Agripina Z. Buyogela -Kasulu Vijijini/NCCR-Mageuzi
10.Ole Sambu -Arumeru Magharibi/Chadema
11.Augustine Lyatonga Mrema-Vunjo/TLP
12.Salum Barwani -Lindi/CUF
13.Joseph Mbilinyi -Mbeya Mjini/Chadema
14.Philemon Ndesamburo Kiwelu-Moshi Mjini/Chadema
15.Dk Antony Mbasa -Biharamulo Magharibi/Chadema
16.Machali Moses John-Kasulu Mjini/NCCR Mageuzi
17.Joseph Selasini -Rombo/Chadema
18.Hezekiah Wenje -Nyamagana/Chadema
19.Peter Msigwa -Iringa Mjini/Chadema
20.Freeman Mbowe -Hai/Chadema
21.Vincent Nyerere -Musoma Mjini/Chadema
22.Godbless Lema -Arusha Mjini/Chadema
23.Zitto Kabwe/C -Kigoma Kaskazini/Chadema
24.Hayness Samson -Ilemela/Chadema
25.John Shibuda -Maswa Magharibi/Chadema
26.Meshack Opulukwa -Meatu/Chadema
27.Sylvester Kasulimbayi Mhoja-Maswa Mashariki/Chadema
28. John Cheyo -Bariadi Mashariki/UDP
29. Bungaro Said -Kilwa Kusini/CUF
30. David Kafulila –Kigoma Kusini-NCCR Mageuzi
31. Prof. Kayogela Kahigi-Bukombe/Chadema
 
Back
Top Bottom