Neno moja la dr. Slaa linaweza kubadilisha nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neno moja la dr. Slaa linaweza kubadilisha nchi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QUALITY, Nov 9, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwanza niwapongeze wana JF popote mlipo. Nimejaribu kufuatilia thread nyingi katika forum hii na nimegudua kuwa watanzania wengi wanasubili nini Dr. Slaa atasema ili watekeleze. Hii inaonesha ni namna gani watanzania walifanya maamuzi ambayo hayakupewa thamani.

  Tumwombee kwa Mungu Dr. Slaa awe na hekima kuu ili aweze kuivusha nchi hii katika vuguvugu hili ambapo hata aliyetangazwa kuwa mshindi hana furaha na urais wake maana wananchi hawamuungi mkono!

  Utaona thread zinasema ... Tunangojea Dr. Slaa atamke, tutekeleze. watz wana imani kubwa naye
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  :yield::yield::yield:
   
 3. K

  Kachest Senior Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina imani Dr. wa ukweli atatumia busara na hekima zake kuinusuru nchi.
   
 4. S

  SUWI JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  :yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
   
 5. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hayo uyasemayo ni ya kweli sehemu nyingi amebatizwa jina la; 'Kamanda". Neno lake linasubiriwa kwa shauku kubwa kila upande. Tumuombee kwa Mungu aendelee kumpa busara ili aweze kuvusha nchi yetu katika kipindi hiki kigumu.
   
 6. v

  vickitah Senior Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yule Dr (PhD) msiwe na shaka kabisa sasa hivi nadhani swala la msingi ni kujipanga na kuona tunafanyaje kuiendeleza nchi yetu na kuona tunafanyaje kuwatoa moja kwa moja mafisadi 2015.. Viva Slaa!!:yield:
   
 7. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nashauri amwachie Mungu yaliyotokea, kisha turudi kujenga chama toka kwenye mashina, kata, na wilaya nchi nzima. Pili tudai kwa nguvu zote tume huru ya uchaguzi halafu mwaka 2015 sio mbali kwani itakuwa ni haki iliyocheleweshwa
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wiser man alwaya he waits and hope.
  I hope to hear from him soon.
  Mafisadi wanahaha kila kona wakihofia tamko lake maana jamaa anaweza kuiamrisha serikali ikafanya kazi au isimame.
  Them fear him big time.
   
 9. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kitu kimoja mnasahau ni kwamba Dr. (Phd) Slaa ni katibu wa chama kwa hiyo yeye binafsi hawezi kutoa tamko bila kukishirikisha chama...

  Tamko lolote tutakalosikia litakuwa ni tamko la chama lililopewa baraka na vikao vyote husika.
   
 10. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Amen. Kweli kipindi ni kigumu. kimya .... kimya .... kimya tu. Iko siku watanzania nao watatabasamu...
   
 11. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Hana lolote wala chochote. Hii ni forum maalum ya Chadema na kila anepingana na Padre Dr wa Kikatoliki Slaa basi anafungiwa.

  Ameangukia pua sasa anaugulia.
   
 12. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe kwa 100%. kwa sasa hali ni tete, asikudanganye mtu. Kinachosubiliwa ni staregy ya kutoka ikiwa ni pamoja na maneno atakayosema Slaa kwa watanzaania ili kuwapoza mioyo yao. maana wana shauku kubwa kumsikia Rais wao.

  Suala la kujenga Chama liko wazi hilo pia litakuwa ni neno kila mchukia Ufisadi atafurahi.... Keep your hope alive.
   
 13. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Big Up
   
 14. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si dhani. maana hata mawazo yako ni safi kabisa. Lakini katika tanzania tuna mafisadi wangapi ukilinganisha na wasio mafisadi? Obviousily mafisadi hasa hawazidi 11 na mashabiki wao hamzidi 2million. sasa unaona ratio yenyewe!!!

  naamini JF siyo ya CHADEMA bali nionavyo wengi ni wapenda haki.
   
 15. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naamini Dr Slaa ataongea kwa busara na kwa upeo mwingi tu
   
 16. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mungu akusamehe maana hujui unenayo. Naamini kabisa wewe kama huna masilahi binafsi na CCM au selikali, basi utakuwa either elimu yako ndogo au ni mjinga huwezi kuwaza na kuwazua mambo magumu, mapana, manene na marefu.

  Angalia maeneo yote ya Tanzania ambayo yana maendeleo Dr. Slaa (ama Chadema) wamefanya vizuri ikiwa ni pamoja na kuchukua majimbo (Mbeya mjini, Arusha, Mwanza, Moshi, Dar, Shinyanga) lakini sehemu ambazo maendeleo hakuna CCM wamepata ushindi (wakisaidiwa na uchakachuaji). Hii inakupa picha gani?

  Dr. Slaa sema neno moja na Nchi hii itapona.
   
 17. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Them belly full, n we are hungry,
  A hungry man is an angry man
  An Angry man is a danger man.....

  But we will survive, no matter what they do
  We have no fear of them atomic energy,
  We got to full fill our goal,

  How long shall they kill our Profits ,
  While we stand aside an Look?

  Com dr, come, we got to start now, NOWWWWWWWWWW!!!!
   
 18. m

  mamtaresi Member

  #18
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thank you very much .dr slaa say one word and the country shall be healed.kama ni kuingia mtaani acha tuingie maana si ccm wala chadema tutaumia wote hakuna kmaendeleo ya kweli ni mpaka afe mtu .
   
 19. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini Mungu hapendi wizi wa kura na kuwanyima watu haki zao. Nakubaliana na mtoa mada wengi wanasubiri kwa hamu neno kutoka kwa Dr. Slaa.
   
 20. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  udini!!!!
   
Loading...