Elections 2010 Sheria hii imevujwa na Selikali Kipindi cha Kikwete kilichopita

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Sote tunaamini kila mwana nchi halali ana haki ya kumiliki Mali na kuitumia kwa mujibu wa Sheria.. na kama atanyang'anywa mali hiyo basi iwe kwa maridhiano ya mwenye mali hiyo na kwakulipa Fidia inayo fanana na Mali hiyo

Lakini mmh
Pale Vingunguti,, Mbagala, Magomeni Bondeni pale,, kuna watu hadi leo hii wanalia walibomolewa nyumba zao hawakupata fidia zinazofanana na haki yao?
 

Attachments

  • Haki ya kumiliki mali.png
    Haki ya kumiliki mali.png
    10.4 KB · Views: 28
Back
Top Bottom