Siyo lazima kiongozi wa upinzani bungeni awe mbunge

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
1,195
Nimepitia katiba toleo la 2005, sijaona lolote kuhusu kiongozi wa upinzani bungeni. Nimepitia Kanuni za Bunge zinasema kutakuwepo na kiongozi rasmi wa upinzani bungeni lakini hazikutajwa sifa stahili.

Naomba wajuzi mnijuze, kwani ni lazima kiongozi wa upinzani bungeni awe mbunge?
 
Firdous

Member
Apr 27, 2009
42
0
Nimepitia katiba toleo la 2005, sijaona lolote kuhusu kiongozi wa upinzani bungeni. Nimepitia Kanuni za Bunge zinasema kutakuwepo na kiongozi rasmi wa upinzani bungeni lakini hazikutajwa sifa stahili.

Naomba wajuzi mnijuze, kwani ni lazima kiongozi wa upinzani bungeni awe mbunge?

Sidhani kama umepitia KATIBA ama KANUNI za BUNGE kwa umakini na kwa uelewa , nahisi ulikuwa na utashi ama mawazo fulani yaliokuwa yanakusukuma wakati unapitia kama ulivyosema. HILO HALIHITAJI MWENGE maana lipo wazi sanaaaaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom