Mawaziri Wataotemwa Hawa Hapa.

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
26,292
Likes
26,224
Points
280

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
26,292 26,224 280
Wakati tukilisubiri baraza jipya la mawaziri, sio vibaya kuwazungumzia waliokuwa mawaziri katika baraza lililopita lakini hawatarudishwa kwenye baraza jipya.

Hawa ni wale waliokuwa mawaziri, ama hawakupita kwenye kura za maoni ndani ya CCM ama wamekataliwa na wananchi kwenye sanduku la kura.

Najue wengi wanamatumaini ya kurea kwa mlango nyuma kwa huruma JK kuwateua tena kwenye zile nafasi zake 10 za uteuzi. JK kama amekubali kumtosa Sitta, then panga litawashukia hawa bila huruma.

List inaongozwa na

1. Shemsa Mwangunga

2. Lawrance Masha

3. Dr. Batilda Burian

4. Deodorus Kamara

5. Philip Marmo........and the list goes on

Lakini pia kuna mawaziri waiokuwepo kwenye baraza lililopita ambao bado ni wabunge lakini watatemwa, hawa ni pamoja na

6. Sofia Simba -ameiaibisha serekali ya JK kwa ile mipasho yake.

7. Magret Sitta kwa makosa ya Mumewe.

Naomba tuiendeleze list kwa kutoa na sababu.

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,564
Likes
1,569
Points
280

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,564 1,569 280
Batilda hawawezi kumuacha maana mhhh nguvu zilizotumika kutaka kumbakisha madarakani ni kubwa sana...najiuliza kwa nini alikuwa analindwa na kutetewa na dola to that level?

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Messages
1,429
Likes
95
Points
145

Omutwale

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2008
1,429 95 145
Mkumbushe Mkulu kuwa wa kutema si wale walioshindwa kwa kila hila kutangazwa na NEC TU; bali HATA wale walio-FORCE KING ushindi kama:

1. MAKONGORO MAHANGA

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
218
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 218 160
Safari hii mkwere atawashangaza atakuwa raisi wa Kwanza kuunda baraza la mawaziri wote wanawake! Kuanzia waziri Mkuu na wizara zote. Wanawake wanaweza wakiwezeshwa.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,938
Likes
206
Points
160

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,938 206 160
No matter how good one is, ukishakataliwa na wananchi you are done. JK akiwabeba kwa mbeleko ya vile viti vyake, mbeleko hiyo itageuka sanda kwenye kaburi la CCM 2015
Believe me JK atafanya lolote safari hii kwani anajua hii ndio term yake ya mwisho so hana haja ya kujisafishia njia kwani 2015 atasimamishwa mwingine hivyo uwezekano wa kuwarudisha maswahiba zake ni mkubwa sana.

Forum statistics

Threads 1,203,802
Members 456,939
Posts 28,130,124