Mr. Tanganyika Member Nov 13, 2010 91 7 Nov 14, 2010 #1 Jembe na nyundo ilimaanisha wakulima na wafanyakazi. Je, bado tunaienzi dhamira iliyopelekea kubuniwa nembo hiyo?
Jembe na nyundo ilimaanisha wakulima na wafanyakazi. Je, bado tunaienzi dhamira iliyopelekea kubuniwa nembo hiyo?
Mr. Tanganyika Member Nov 13, 2010 91 7 Nov 14, 2010 Thread starter #2 Hii ni ishara ya ushindi. Utapatikanaje?
Mr. Tanganyika Member Nov 13, 2010 91 7 Nov 14, 2010 Thread starter #3 Haki na usawa. Inajidhihirisha kwa namna gani?