Tetesi. Nafasi ya naibu waziri mkuu kurudi?

Baba Ubaya

Senior Member
Jun 24, 2008
127
195
Nimepitia gazeti la nipashe nimekutana na hii ishu.wana jamii ikiwa ni kweli tunakwena wapi!
 
Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
1,225
Navyosikia mie ni kuwa itawekwa na TAMISEMI na itamstahili sana John Pombe maghufuri/Samweli Sitta ingawa kwa fununu za karibu kuwa sitta ndio katemwa hivyooo kabisaa, tatizo kuwa viongozi wa juu ndani ya chama CCM wakikutenga bwana basi tena imekula kwako
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,515
2,000
Navyosikia mie ni kuwa itawekwa na TAMISEMI na itamstahili sana John Pombe maghufuri/Samweli Sitta ingawa kwa fununu za karibu kuwa sitta ndio katemwa hivyooo kabisaa, tatizo kuwa viongozi wa juu ndani ya chama CCM wakikutenga bwana basi tena imekula kwako
YANATOKEA MBALI SANA HAYO, Tangu enzi zilee "UKIWA SI MWENZAO, BIASHARA IMEISHA hata ujumbe wa nyumba kumi hustahili kuupata:A S angry: Ni utamaduni na mila ndani ya CCM. Ukiwa katika kundi la mwenzetu basi hapo hata UWE NA MAKOSA KAMA KILIMANJARO utalindwa kwa namna zote.:smile-big:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom