Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,336
Hivi kura 9 za kuchagua Spika kuharibika ina maanisha kuna wabunge mbumbumbu au wakorofi au vilaza au msamiati mzuri ni upi jamani? Ivi awa wabunge walioharibu kura tukiwapa kutunga sheria watakuwa makini au ndo watasign rais anyongwe?au ndo wataharibu mikataba ya nchi,kwani wanaelewa lugha au ni vp? Je tarehe 31 kura zao zilikuwaje?shule hamna?au ndo pia wariharibu kura zao? Ndugu nisaidie naisi kukasirika kwa hawa watunga sheria ambao si makini.