Hivi hawa CUF ni CHADEMA au CCM walipaswa kuunda nao kambi huyu???
Mgombea mwenza wake kawa waziri wa Afya kule Zanzibar kwa kweli sielewi wanataka nini kwenye kambi ya upinzani...
Mimi...
Sita Kuanguka Kwenye Mtego wa MAFISADI pale CC ya CCM INAMAANA GANI????
Kumbukumbu kule bunge la Tisa zinaonyesha kwamba SIX alikua ni mwiba mchungu kwenye ngozi ya Kijiwe Cha Walarushwa nchini...
Slaa apasua jipu kuwa hamtambui JK b'se ni result ya uchakachuaji; Mbowe akakazia kuwa ni msimamo wa CHADEMA
Source: STAR TV news 20hrs
Na Nation wameandika hivi:
By FLORENCE MUGARULA, Daily...
GENERAL
ID No.: 1038
Salutation: Honourable
First Name: Mizengo
Middle Name: Kayanza Peter
Last Name: Pinda
Member Type: Constituency Member
Constituent: Katavi
Political Party...
Kamati kuu ya CCM inayomaliza muda wake mwaka 2012 imeacha 'legacy' ya kukumbatia ufisadi na kukigawa chama cha mapinduzi. Kati ya wananchi wa Tanzania na Mafisadi kamati kuu ya CCM imechagua...
Kwa mtazamo wangu nimeyapokea matokeo ya uspika (makinda kura 265 na marando kura 53) kama kuna upizani ndani ya kambi ya upinzani ambao ulianza wakati wanachagua kiongozi wa kambi ya upinzani...
Zanzibar au Tanzania Visiwani kama inavyojulikana inachangia kiasi gani cha bajeti ya Serikali ya Muungano? Kwa mfano tunaona wabunge wengi wa kutoka Zanzibar na pemba kuingia kwenye bunge la...
Jamani hayo maandishi meusi yana uhusiano na ujumbe aliopeleka Obama na running title waliyoweka the Guadian?? Mbona waTz tenapendelea kudangany'ana kila siku ?? Yaani media za Tz ni zero!! US...
With honour I hereby submit few querries to hon.dr Slaa,lissu ,mdee,zitto,myika and chadema followers who are available at Jf on few constitutional issues as follows: first,sec.51(3) is...
Viongozi wanne wa serikali ya Kenya (hawakutajwa majina) leo wamepigwa marufuku kuingia US kwa kuhusika ktk biashara ya madawa ya kulevya. Taarifa hii imetolewa na Balozi wa US nchini Kenya. Hili...
Hebu angalieni ibara ya 41 katika katiba ya nchi kipengele cha 6 na 7 vinakinzana mwaka huu
41. (6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa
amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu...
Sielewi kwa nini Mnyaa aliomba nafasi zote mbili halafu anakuja kujitoa wakati wa kujieleza. Pia anajitoa unaibu spika, ana uhakika gani kuwa atakujakuchaguliwa kuwa mbunge wa SADC?
Source: herman mwampyate: RIPOTI KAMILI
Bunge la 2010-2015 ni la vijana, mandhari na kila kitu kinabeba tafsiri hiyo na hapa kuna ripoti kamili ya kilichochukua nafasi mjini Dodoma...
Sera za Chadema za serikali ndogo sasa yaelekea CCM wamezivalia njuga na yeye Dr. Shein leo ITV wametuhabarisha kaunda serikali ndogo ya mawaziri 16................7 kutoka CUF na 9 kutoka CCM na...
Mwandishi: haki Tarehe: Monday, November 15, 2010 | kiungo mahususi
WAKILI KESI YA ZOMBE AFARIKI DUNIA
ALIYEKUWA Mwanasheria Mwandamizi wa Serikali, Jasson Kaishozi katika kesi ya mauji ya...
Helow wana JF jukwaa la mawazo huru na pana.
Thread nyingi nimezisoma zikitoa mwongozo kwa wapenda mabadiliko kuanza kuchukua hatua kuwa sehemu ya mabadiliko. Mimi nimeanza kwa kuanzia na...
Mambo ambayo hatuna budi kuwa makini nayo ni yale yaliyotokea huko Shinyanga ambako mipango ya siri ya uchakachuaji matokeo ya uchaguzi kwa njia ya siri yalikamatwa lakini mpaka leo hakuna taarifa...
Naamini JF kuna watu ambao ni wachambuzi wazuri wa siasa. Naomba wanisaidie katika hili...
Tokea jana nimesikia kauli zinazokinzana kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe), na aliyekuwa...
Ili jamii yoyote iweze kupata maendeleo ni lazima iwekeze kiasi kikubwa kuliko inavyotumia. Serikali ya CCM kwa muda mrefu imekuwa ni ya kutumia siyo kuzalisha. JK alikwishawahi kutamka kuwa...