Kikwete atakumbukwa kwa hili - Waziri Mkuu

akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
Kamati kuu ya CCM inayomaliza muda wake mwaka 2012 imeacha 'legacy' ya kukumbatia ufisadi na kukigawa chama cha mapinduzi. Kati ya wananchi wa Tanzania na Mafisadi kamati kuu ya CCM imechagua Mafisadi kwa kumtwangilia mbali mheshimiwa Samwel Sita na kufagia ndoto zake za kumalizia kazi aliyoianza ya kuendesha bunge kwa 'speed and standards', kazi ambayo imekubalika sana kwa wananchi.

Hivi sasa Samwel Sita ndiye kiongozi bora kuliko kiongozi yeyote wa CCM kwa kuwa kuna 'legacy' ameacha kwa wananchi wa Tanzania. Sita ataendelea kukumbukwa na watanzania kwa karne nyingi zijazo.

SUALA ZITO

Leo hii mchana huu, mheshimiwa Anne Makinda atataja jina la waziri mkuu ambalo ndilo litakalothibitisha kama Kikwete ana mkono wake kwenye kuunga mkono mafisadi au la.

Endapo Mizengo Pinda atarudi, basi hii inaonyesha Kikwete anataka kujitwalia yeye sura ya kuogofya na kuula mkate wote peke yake maana huyu Pinda ni mtu asiye na jipya. Anafanya kazi ya uwaziri mkuu kama bado yuko 'secret service'. Anasubiri amri na hana jambo lake jipya, japo ni muadilifu.

Endapo atatuletea E. Lowasa au mwanamtandao yeyote hii itaonyesha kuwa Jakaya ameamua kulipa fadhila kwa waliomsaidia kuchakachua matokeo.

Akichagua mwanamke, itaonyesha kabisa Jakaya anataka kukumbukwa kama mnafiki aliyeamua kujianika waziwazi maana ingekuwa vema kama angewaachia wanawake kiti cha urais ili tujue kwamba kweli amekusudia...badala ya kuomba yeye amalizie muda wake, ila wengine wapishe jinsia nyingine.

SWALI

Jakaya Kikwete, unataka kukumbukwa kwa lipi na watanzania. Waziri mkuu utakayemteua ndiye atakaye kubeba au kukubomoa na kubomoa CCM kabisa.

USHAURI

Wape mapenzi watanzania, mtu ambaye wamempima wakaona anajali maslahi ya watanzania kuliko maslahi ya CCM, ufisadi au upuuzi. Mtu asiyeogopa mafisadi, tupe Sokoine mwingine. Kwa hili Jakaya Kikwete hata baada ya urais wako utatembea kifua mbele.
 
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Messages
4,786
Likes
941
Points
280
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2010
4,786 941 280
sasa we unamtaka nani awe pm
 
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
sasa we unamtaka nani awe pm
Mimi ni mwanachama mfu wa CCM. Nimepigana vita vya chini chini sehemu mbalimbali kuhakikisha upinzani unaimarika ili CCM ipone. Lakini kwenye uspika walipomtosa mpiganaji iliniudhi sana. Na mama Anna Abdallah staili aliyotumia kumnyamazisha Tundu Lissu ilinifanya nijue Anne Makinda alichotumwa kufanya, kwa sababu nilishangaa kuona Ole Sendeka anahaha uwanja mzima mpaka kwenye kipaza sauti cha wagombea uspika lakini yeye hakupoteza nafasi ya kuuliza, na Ujasiri wa Anna Abdallah sikuuona kabisa kama alivyojikakamua kwa Tundu Lissu.

Kwa hiyo najua fika Anna Makinda katumwa kulinda mafisadi.

Waziri Mkuu wa leo ndiye atakayeamua mimi na wenzangu wengi tu hapa kambini kwamba tufufue uanachama wetu CCM, au tuamie kati ya CHADEMA ama CUF.

Ila kwa jinsi CUF inavyoonyesha kujali zaidi madaraka kuliko maslahi ya upinzani, Jakaya akichemsha leo jina la Waziri Mkuu basi tutaamia CHADEMA.

Trust me, hii team niliyonayo ina madhara makubwa sana kwa CCM kama tukiamia upinzani. Kwa sababu ni Team yenye watu wenye ujuzi wa hali ya juu kwenye mambo mengi ya muhimu.

TUTAITIKISA NCHI KULIKO HATA KIKWETE ANAVYOOGOPA KAGODA KUTIKISA NCHI. SISI TUTATOA TETEMEKO KUBWA KULIKO LA HAITI.

TUTAITIKISA NCHI NA KUING'OA CCM KWA MASLAHI YA TAIFA. TUNASUBIRI JINA LA WAZIRI MKUU. LIKIWA JEMA TUTASUBIRI BARAZA, KISHA TUNAANGALIA KWA KARIBU UTENDAJI KAZI KATIKA MIHIMILI YOTE YA DOLA, MAHAKAMA, SERIKALI NA BUNGE.

KIKWETE MAKE SURE YOU DON'T **** THIS UP!! YOU ARE BETTER THAN THAT!!!!!!!!!!!!!
 
Kaa la Moto

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
7,698
Likes
187
Points
160
Kaa la Moto

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
7,698 187 160

Pamoja mkuu wangu, pamoja.
 
makoye2009

makoye2009

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Messages
2,644
Likes
499
Points
280
makoye2009

makoye2009

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2009
2,644 499 280

Akashube,

Usipoteze muda wako kusubiri jina la PM.Wewe njoo CHADEMA na hao wenzako.
Usitegemee kama JK atakuja nasuprise ya jina la PM mwenye qualities unazozitaka. Hawezi.Lazima aweke PM ambaye ni weak ili asije akamharibia ulaji wake na mafisadi wenzake.

Sana sana tutegemee huyu huyu Mizengo Kayanza Peter Pinda ambaye anafanya kazi kama vile anahofu ya jambo fulani.
Pinda alishaonyesha weakness zake pale ALIPOTOA MCHOZI KUWALILIA MA-ALBINO WANAOUWAWA KANDA YA ZIWA KWA MAMBO YA KISHIRIKAINA. Hapo ndipo nikajua huyu jamaa ni dhaifu. PM utaliaje mbele ya wananchi badala ya kutoa maamuzi ya kutatua tatizo??

Naamini JK hatakuja na jipya kuhusu PM. Labda kama atamweka Samwel Sitta. Anaweza akaja na porojo zilezile za Usipika sijui tunataka wanawake waongoze mihimili na upuuzi kama huo na amweke huyo Anne Tibaijuka!

Tusubiri bado masaa kadhaa.
 
Drifter

Drifter

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2010
Messages
2,054
Likes
766
Points
280
Drifter

Drifter

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2010
2,054 766 280
...

Waziri Mkuu wa leo ndiye atakayeamua mimi na wenzangu wengi tu hapa kambini kwamba tufufue uanachama wetu CCM, au tuamie kati ya CHADEMA ama CUF.

Ila kwa jinsi CUF inavyoonyesha kujali zaidi madaraka kuliko maslahi ya upinzani, Jakaya akichemsha leo jina la Waziri Mkuu basi tutaamia CHADEMA.

Trust me, hii team niliyonayo ina madhara makubwa sana kwa CCM kama tukiamia upinzani. Kwa sababu ni Team yenye watu wenye ujuzi wa hali ya juu kwenye mambo mengi ya muhimu.

TUTAITIKISA NCHI KULIKO HATA KIKWETE ANAVYOOGOPA KAGODA KUTIKISA NCHI. ...
Duh! Kuna wakuu mnatisha humu JF. Tatizo naloliona ni kama vile umeweka uzito mkubwa mno kwa JK na hatua atakazochukua kama Rais. Nionavyo mimi, hata yeye hana madaraka kamili na CCM; kuna watu humo ndani wanampa mchecheto. Ndio maana tukapewa kauli kama "mafisadi wakikamatwa nchi itatikisika/itayumba". Ndio maana kampeni zake zimekuwa mtindo wa BMW kwa kwenda mbele!

Aidha, nachozidi kukishuhudia ni ile hali ya hata watu wenye visomo, uzoefu, hadhi zao na uelewa mkubwa, wakikubali kuweka taaluma, heshima na haki zao (za binadamu) pembeni ili kufurahisha "wenye chama". Wanaoona soni kidogo huishia kuwa kimya. Hata vyombo vya dola vinawagwaya hao jamaa. Ona kidogo tu majibu yao kuhusu OCD kukatwa ngwala kule Maswa. Kama vile tumejiundia Frankenstein monster!

Hapo kweli wategemea uteuzi wa leo wa muungwana kuwa na maana kiasi cha kuwa factor kwako wewe kupitisha maamuzi muhimu kuhusu chama chako (CCM)? Ulitakiwa uwe umehama siku nyingi mkuu! Chama kina "wenyewe" hicho!
 
Baba, Mama, Watoto. kwi kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!
 
sensa

sensa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
398
Likes
0
Points
33
sensa

sensa

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
398 0 33
Mimi ni mwanachama mfu wa CCM. Nimepigana vita vya chini chini sehemu mbalimbali kuhakikisha upinzani unaimarika ili CCM ipone. Lakini kwenye uspika walipomtosa mpiganaji iliniudhi sana. Na mama Anna Abdallah staili aliyotumia kumnyamazisha Tundu Lissu ilinifanya nijue Anne Makinda alichotumwa kufanya, kwa sababu nilishangaa kuona Ole Sendeka anahaha uwanja mzima mpaka kwenye kipaza sauti cha wagombea uspika lakini yeye hakupoteza nafasi ya kuuliza, na Ujasiri wa Anna Abdallah sikuuona kabisa kama alivyojikakamua kwa Tundu Lissu.

Kwa hiyo najua fika Anna Makinda katumwa kulinda mafisadi.

Waziri Mkuu wa leo ndiye atakayeamua mimi na wenzangu wengi tu hapa kambini kwamba tufufue uanachama wetu CCM, au tuamie kati ya CHADEMA ama CUF.

Ila kwa jinsi CUF inavyoonyesha kujali zaidi madaraka kuliko maslahi ya upinzani, Jakaya akichemsha leo jina la Waziri Mkuu basi tutaamia CHADEMA.

Trust me, hii team niliyonayo ina madhara makubwa sana kwa CCM kama tukiamia upinzani. Kwa sababu ni Team yenye watu wenye ujuzi wa hali ya juu kwenye mambo mengi ya muhimu.

TUTAITIKISA NCHI KULIKO HATA KIKWETE ANAVYOOGOPA KAGODA KUTIKISA NCHI. SISI TUTATOA TETEMEKO KUBWA KULIKO LA HAITI.

TUTAITIKISA NCHI NA KUING'OA CCM KWA MASLAHI YA TAIFA. TUNASUBIRI JINA LA WAZIRI MKUU. LIKIWA JEMA TUTASUBIRI BARAZA, KISHA TUNAANGALIA KWA KARIBU UTENDAJI KAZI KATIKA MIHIMILI YOTE YA DOLA, MAHAKAMA, SERIKALI NA BUNGE.

KIKWETE MAKE SURE YOU DON'T **** THIS UP!! YOU ARE BETTER THAN THAT!!!!!!!!!!!!!
Ndugu yangu nikushukuru sana,lakini pia kutokana na uliyoyaeleza inaonyesha wazi kabisa mda unaotakiwa kuachana na CCM ni SASA hivi ili upatikane mda wa kutosha kujipanga hivyo nakuomba ulifanye hilo kwani una sababu za kutosha na za msingi.
 
Gosbertgoodluck

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
2,865
Likes
32
Points
0
Gosbertgoodluck

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
2,865 32 0
Kama wahubiri wanavyosema, saa ya wokovu ni sasa usisubiri kesho maana kesho huna uhakika nayo. Ninakushauri uchukue uamuzi mapema iwezekanavyo. Thithiem ina wenyewe na wenyewe hao ni mafisadi.
 
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,612
Likes
620,017
Points
280
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,612 620,017 280
Hivi sasa Samwel Sita ndiye kiongozi bora kuliko kiongozi yeyote wa CCM kwa kuwa kuna 'legacy' ameacha kwa wananchi wa Tanzania. Sita ataendelea kukumbukwa na watanzania kwa karne nyingi zijazo.
Hili siyo kweli................urithi wa Samweli Sitta ni jinsi alivyozima mjadala wa Richmona Bungeni.................atakumbukwa kama kiongozi asiye na msimamo na ambaye alikuwa anauma na kupulizia kwa minajili ya kujilinda nafsi yake na hivyo kutomridhisha yeyote
 
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Messages
1,611
Likes
322
Points
180
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2007
1,611 322 180
Sitta ni safi au kasoma nyakati na akawa upande wetu wakati wa Richmond?

Tuambieni usafi wake?
 
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
Duh! Kuna wakuu mnatisha humu JF. Tatizo naloliona ni kama vile umeweka uzito mkubwa mno kwa JK na hatua atakazochukua kama Rais. Nionavyo mimi, hata yeye hana madaraka kamili na CCM; kuna watu humo ndani wanampa mchecheto. Ndio maana tukapewa kauli kama "mafisadi wakikamatwa nchi itatikisika/itayumba". Ndio maana kampeni zake zimekuwa mtindo wa BMW kwa kwenda mbele!

Aidha, nachozidi kukishuhudia ni ile hali ya hata watu wenye visomo, uzoefu, hadhi zao na uelewa mkubwa, wakikubali kuweka taaluma, heshima na haki zao (za binadamu) pembeni ili kufurahisha "wenye chama". Wanaoona soni kidogo huishia kuwa kimya. Hata vyombo vya dola vinawagwaya hao jamaa. Ona kidogo tu majibu yao kuhusu OCD kukatwa ngwala kule Maswa. Kama vile tumejiundia Frankenstein monster!

Hapo kweli wategemea uteuzi wa leo wa muungwana kuwa na maana kiasi cha kuwa factor kwako wewe kupitisha maamuzi muhimu kuhusu chama chako (CCM)? Ulitakiwa uwe umehama siku nyingi mkuu! Chama kina "wenyewe" hicho!
Ningehama siku nyingi nisingekuwa Imara kama nilivyo sasa. Kwa mfano mpaka October 31, mwaka huu nilikuwa naamini CUF ni chama cha upinzani. Lakini sasa imethibitika kuwa CUF ni Tawi la siri la CCM na wote waliomwaga damu zao kwa ajili ya CUF huku Seif Sherif Hamad akiwa anakula kuku Uingereza, walikufa bure...walikuwa chambo.

Mfano mdogo ni kura 46 alizopata mgombea unaibu spika kupitia CHADEMA, zote ni kura za wabunge wa CHADEMA. Hivyo CUF wamemchagua mgombea wa CCM na sababu zinajulikana. Wakati huo huo CUF walitoa kauli ya kuunga mkono uteuzi wa CHADEMA. Msaliti wa namna hiyo ni mbaya kuliko shetani.

Hivi nawaza ningekuwa nimehama CCM na kuingia CUF saa hizi ningekuwa kwenye hali gani kuona u'shoga' kama huu ukifanywa na chama nilichokiamini kikijiita 'ngangari' na kutumia msemo wa 'hakiiii'

Kumbe hakuna chama cha CUF bali ni Seif Sherif Hamad ndiye mwamuzi wa yote, kumbe Prof Lipumba yuko kwenye payrol ya CCM!!!!

Angalia Mnyaa na kweli Mnyaa, jinsi alivyojitoa kugombea unaibu spika na sababu za ki'shoga alizotoa. Hawa jamaa kweli vimada wa CCM.

Bora sikufanya uamuzi wa haraka kuhama CCM, sasa nimeshajua chama hasa cha Upinzani nchi hii ni kipi!!!

Mtikila aliona mbali sana, ndio maana anatunza bendera ya Tanganyika sikuzote. Wazanzibari ni watu wenye akili fupi mno. Kweli jinsi watu walivyouawa na serikali ya Mkapa, mwaka 2000...mfano wale waliotumbukizwa kwenye maji kwa helikopta...wale wana CUF waliokuwa wakikimbilia Mombasa...kweli leo damu zao zimemwagika bure. Hawa wapenda ubwabwa hawafai kabisa.

Kuna jamaa nilikuwa namheshimu sana, kajamaa Mbatia ka NCCR, yaani haka ndio kameishiwa sera kabisa, kenyewe kanaongoza CCM D. Kwa utumbo wa kutaka kupingana na chama bora cha upinzani Tanzania, hapo ndio nimegundua NCCR ni chama cha wapumbavu wa siasa.

CCM iliyojaa mazezeta inapeta kwa sababu ya vimada wao NCCR na CUF.

SASA NIMEPATA PICHA KAMILI. SI KWAMBA SIKUYAONA HAYA KABLA...LAKINI NILITAKA KUTHIBITISHA..BEYOND RESONABLE DOUBT.KWA SABABU NINACHOKWENDA KUKIFANYA NI MWENYEZI MUNGU TU NDIYE MWENYE UWEZO WA KUKI-COMPREHEND.

BURIANI CUF, BURIANI NCCR, BURIANI CCM, MMEFUTWA KABISA KWENYE USO WA DUNIA NA WALA KUMBUKUMBU LENU HALITOKUWAPO TENA MILELE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
Hili siyo kweli................urithi wa Samweli Sitta ni jinsi alivyozima mjadala wa Richmona Bungeni.................atakumbukwa kama kiongozi asiye na msimamo na ambaye alikuwa anauma na kupulizia kwa minajili ya kujilinda nafsi yake na hivyo kutomridhisha yeyote
Ukijiweka wewe pembeni....wachukue watanzania, halafu wape jina la kiongozi kwenye mihimili yetu mitatu ya dola ambaye wanaweza kusema ameleta mabadiliko fulani kwenye mhimili wake. Zingatia jinsi CCM ilivyoendesha nchi 2005-2010.

Hayo ya kugeuka tunayafahamu sana....try Makinda....keep leaving....

Huwa mnasema ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, mimi nakwambia ukishayaona ya firauni....ukiyastaajabu ya firauni utayaona ya Jezebel.
 
Forum statistics

Threads 1,235,341
Members 474,524
Posts 29,219,277