Hivi ukiwa naibu spika huruhusiwi kuwa mbunge wa SADC?

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Sielewi kwa nini Mnyaa aliomba nafasi zote mbili halafu anakuja kujitoa wakati wa kujieleza. Pia anajitoa unaibu spika, ana uhakika gani kuwa atakujakuchaguliwa kuwa mbunge wa SADC?
 
yani ninasikia kulia hawa watu wanachezea haki yangu huko Bungeni nasikia kujitoa kafara ili nikaonane na Mungu nimuulize tumemkosea nini
 
yani ninasikia kulia hawa watu wanachezea haki yangu huko Bungeni nasikia kujitoa kafara ili nikaonane na Mungu nimuulize tumemkosea nini

Kujitoa kafara tena? Hayo makubwa mwaya!
 
Back
Top Bottom